Huyo rafiki yako inaonekana hela anazopata zinapotea bure tu bila kufanya jambo la maana,ndio maana kaumia kwa wewe kumwambia ukweli,angekua na mipango yake mingine inayomfanya asilale sehemu nzuri kwa afya yake asingeumia hivyo na kukublock,angekua na mipango mingine angekuambia tu kwani wewe ni rafiki yake wa kitambo.