Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Sawa mimi sijaingilia ila nimejaribu kumtafakarisha yupo Dar mda sana af isitoshe ana miaka mingi sana tangu yupo Dar ilo ndio limeniumaAcha kuingilia private life ya mtu, sio kila anachokifanya atakuweka wazi.
Ndio ivyo mimi nimemwambia ili ajifikilie tangu mimi namfahamu ana iko kitanda mpaka leo how comes?Jamaa aliumia sana,ingawaje umemwambia kitu kizur cha maendeleo
Ujue kuna watu tunatofautiana,kuna watu hcho kitanda cha futi 4 huwa tunakiona kikubwa,niliwah kugombana sana na mke wangu kuhusu kitanda cha nne kwa sita,nilkuja kukiona kidogo tulipopata mtoto
Nilienda kumsalimia ila hii imetokea gafla sana😀😀😀😀ulienda kumsalimia au kumchunguza 😅
Kwahio ukiwa Dar miaka mingi na kitanda nacho kinatakiwa kiwe cha futi nyingi sio 😝Sawa mimi sijaingilia ila nimejaribu kumtafakarisha yupo dar mda sana af isitoshe ana miaka mingi sana tangu yupo dar ilo ndio limeniuma
Sawa ila kuna vitu ni kipaumbele sanaPunguza ushauri watu wana mipango yao
No ila unatakiwa ujibane upate na wewe kitanda kizuri mfano mim niliaza kualal chini nikajibana niwezavyo nikaenda kukopangodoro dukani uku kila mwisho wa mwezi napeleka kiasi polepole nikamaliza na geto langu lina lidhisha kiasi chakeKwahio ukiwa dar miaka mingi na kitanda nacho kinatakiwa kiwe cha futi nyingi sio 😝
Amepanga chumba kimoja huko goba mzeeUlienda kwake mpka chumbani 😂😂😂😂😂😂 man down man down
Sasa hv una asset za kutosha sio 😆No ila unatakiwa ujibane upate na wewe kitanda kizuri mfano mim niliaza kualal chini nikajibana niwezavyo nikaenda kukopangodoro dukani uku kila mwisho wa mwezi napeleka kiasi polepole nikamaliza na geto langu lina lidhisha kiasi chake
Hapana kwakweli sitaki kuwa muongo najikongoja sanaSasa hv una asset za kutosha sio 😆
Sababu yake ya hovyo sanaKwahio ukiwa dar miaka mingi na kitanda nacho kinatakiwa kiwe cha futi nyingi sio 😝
Au hujakaa bado miaka mingi na wewe angalia inaenda kuwa mingiHapana kwakweli sitaki kuwa muongo najikongoja sana
Kwahiyo wewe unaona sawa kwa mfanyakazi wa serikali anapata mshahara mnono af miaka kumi yupo kazini bado analalia kitanda cha futi nne kweli?Sababu yake ya hovyo sana
Nipo tangu 2017 ila najikongoja geto langu lina lidhisha nimepanga sinza nyumba ya vyumba viwili bado napambana kaka juzi nilitaka kuhama ila nimeshindwa kwahiyo napambanaAu hujakaa bado miaka mingi na wewe angalia inaenda kuwa mingi