........
Suala la ponda liko hivi...............................
Hakuna cha dhulma wala nini, waislam mnajikandamiza wenyewe kwa kukosa maarifa...wenzenu wanazidi kununa maeno makubwamakubwa nyinyi hata msikiti tu maishia kuugombea mpaka kupelekea watu kukatana masikio na kulipuana mabomu. Dhulma mnajitengenezea wenyewe kwa kukosa maarifa. Period.Nchi yetu inaenda pabaya kwani waislam wanaona kama wanaonewa na serikali hii, lakini wakristo wamekuwa wanashabikia na kua upande wa serikali kufurahia madhila yanayo wapata waislam. hakuna mkristo aliyewahi kuona kuwa hapa serikali haijatenda haki kwa waislam. hiki ndio kitu kibaya kuliko vyote?
Suala la ponda liko hivi
1. amehisishwa na kesi ya kuchoma makanisa, kitu ambacho si kweli waliochoma makanisa walikamatwa na kesi yao inaendelea, alichosema ponda waachiwe waliokamatwa kwa hoja alizozitoa kama muislam
2. Kosa alilokamatiwa ni UVAMIZI wa eneo la mtu hapo chang'ombe hili ndo kosa lake akiwa na watu 36 wengine
kwanini unakua uonevu? suala la kiwanja kuvamiwa halihitaji waziri wa mambo ya ndani aite wanahabari kuwaambia uovu huo, hili ni suala la mdai (anayedaiwa mwenye kiwanja), polisi na wavamizi kwanini kiwanja hiki kinatetewa kwa nguvu zote? waziri amepewa kitu kidogo au anafurahia kiwanja hicho kuuzwa ili waislam wakose
3 KIWANJA NI MALI YA WAISLAM walichorithi iliyokua jumuia ya afrika mashariki ya waislam, sasa kinaangaliwa na bakwata. Bakwata wameshindwa kuiendeleza matokeo yake wanataka kukiuza ili wajipatie fedha wale wao kwa manufaa yao na si waislam.
kiwanja hiki aliuziwa manji miaka ya nyuma, waislam wakishirikiana na imam wa masjid mtoro walipiga kelele manji akashindwa kukichukua, sasa kimeuzwa tena na aliyenunua kiwanja alianza kujenga, walioweza kina ponda walienda kukizuia wakavamia na kujenga msikiti wa muda ndipo alipokamatwa
Dhulma inaandaliwa ili kuwakandamiza waislam, imeunganishwa na kesi ya UAMSHO ili ionekane nchi iko kwenye hali ya hatari wakati si kweli, Ya mbagala yalipita watu wakachukuliwa hatua leo kuja kumkamata ponda halafu useme wewe kwa sababu fujo ilifanyika mbagala unakosa, ulikataa sensa unakosa, huu ni uhuni.
nchi imetulia ila yanajengwa mazingira kuonyesha nchi iko kwenye hali ya hatari waislam wakandamizwe mbaya christian your happy, Lakini mambo yakiharibika yataharibika kwa wote
Waislam tuzidishe dua katika kipindi hiki kigumu na ALLAH(S.W) atadhihirisha haki inshalah
Nchi yetu inaenda pabaya kwani waislam wanaona kama wanaonewa na serikali hii, lakini wakristo wamekuwa wanashabikia na kua upande wa serikali kufurahia madhila yanayo wapata waislam. hakuna mkristo aliyewahi kuona kuwa hapa serikali haijatenda haki kwa waislam. hiki ndio kitu kibaya kuliko vyote?

Sheikh Ponda and his followers are accused of
1. Committing conspiracy;
2. Trespass;
3. Criminal possession of property owned by Agritanza Limited at Chang'ombe in Temeke municipality.
4. Stealing of building materials from Agritanza limited including 1,500 bricks and 36 tonnes of aggregate and iron bars, all worth 59.6m/.
5. Inciting people to commit offences (only Ponda's).
Haya ndo makosa aliyopandishwa nayo Kisutu. Hayo manne ni pamoja wa wengine 49, na hilo la 5 ni peke yake.
ukichunguza kwa ndani zaidi, chanzo cha machafuko ni waislamu kugawanyika. hii inatokana na uongozi FISADI WA BAKWATA. for sure BAKWATA kimekuwa kisiasa zaidi na haitatui matarajio ya waislamu. LAZIMA BAKWATA IVUNJWE KWA MANUFAA YA WAISLAMU NA NCHI!!