soma sheria za JF kwanza usiwe mvivu kutaka mambo mkato.Wana jf ikiwa mtu atakutwa na kosa la kumtukana matusi mwenzake, hukumu yake ikoje?
uraiani hilo ni kosa la jinai, kutukana ni kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu, sura ya 15 kifungu chs 89 (1). Adhabu yake ni kifungo cha miezi sita jelaWana jf ikiwa mtu atakutwa na kosa la kumtukana matusi mwenzake, hukumu yake ikoje?
Hajaweka na fine ya sh 20 kweli ??uraiani hilo ni kosa la jinai, kutukana ni kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu, sura ya 15 kifungu chs 89 (1). Adhabu yake ni kifungo cha miezi sita jela
kupigana ndo kuna kuna faini ya shilingi 500 (mia tano)Hajaweka na fine ya sh 20 kweli ??
Teh teh hizi fine zinanichekeshaga sana ,kumbe ukidunda mtu ni jero tu unalipa ,kupigana ndo kuna kuna faini ya shilingi 500 (mia tano)
Jero tu mkuu, kakini si lazima, ni uamuzi wa hakimu akiamua usiende jela bali ulipe faini pekeeTeh teh hizi fine zinanichekeshaga sana ,kumbe ukidunda mtu ni jero tu unalipa ,
lakini mkuu kuna tofauti kati ya kupigana na kudhuru/kuumiza mtu. akiumia ni kitu kingine kabisaTeh teh hizi fine zinanichekeshaga sana ,kumbe ukidunda mtu ni jero tu unalipa ,
Duu kumbe inamipaka aisee sasa unapigaje mtu asiumie ,au unampiga na kangalakini mkuu kuna tofauti kati ya kupigana na kudhuru/kuumiza mtu. akiumia ni kitu kingine kabisa
Heheeee akiumia ndo inakuwaje!!!????lakini mkuu kuna tofauti kati ya kupigana na kudhuru/kuumiza mtu. akiumia ni kitu kingine kabisa
Ndugu sio dola, ni shilingi za kitanzania.Hahahahahahs $$$$500!!!
yaa. nmana hiyo, wala asichubukeDuu kumbe inamipaka aisee sasa unapigaje mtu asiumie ,au unampiga na kanga
akiumia unakula mvua miaka saba (7), ni kifungu namba 225 sura ya 16Heheeee akiumia ndo inakuwaje!!!????
Teh teh sasa na wale wazaramo ambao kipigo chao wanakitoa kwa maneno tu lakini mtu anapoteza uhai ,watashitakiwa kwa makosa gani ??yaa. nmana hiyo, wala asichubuke
hiyo ni kuua bila kukusudia mkuu. Kama kweli ikidhihilika matusi/maneno yamesababisha kifon ni kifungo cha miaka mitano (5).Teh teh sasa na wale wazaramo ambao kipigo chao wanakitoa kwa maneno tu lakini mtu anapoteza uhai ,watashitakiwa kwa makosa gani ??
Lol!!!!!miaka 7 htr???akiumia unakula mvua miaka saba (7), ni kifungu namba 225 sura ya 16
Hahahahahaha maneno yanaua mtu!!!hyo ni presha cio bure!!!Teh teh sasa na wale wazaramo ambao kipigo chao wanakitoa kwa maneno tu lakini mtu anapoteza uhai ,watashitakiwa kwa makosa gani ??
Dah nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi ,hiyo ni kuua bila kukusudia mkuu. Kama kweli ikidhihilika matusi/maneno yamesababisha kifon ni kifungo cha miaka mitano (5).
Dragoon mi najua $$$ sasa hpa c unamchamba yte ili mia tano itoke kihalali!!!hahahahaNdugu sio dola, ni shilingi za kitanzania.