Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,316
- 72,742
Baada ya kusikia RC wa Dar bw Makonda akianza mipasho yake kwa wawakilishi wa wananchi yaani madiwani na Mameya wao kuwa hatasikiliza porojo zao na kuwa yeye ndie Rais wa mkoa na hakifanyiki kitu bila ridhaa yake, picha ya wazi inejionyesha kuwa Dar habari ya Maendeleo itakuwa nadra kuisikia zaidi ya migogoro. Labda kama Maendeleo yata tasminiwa kwa mikopo ya Pikipiki kwa bodaboda na walimu kusafiri bure kwenye daladala.
Inafahanika wazi kuwa fedha zinakusanywa na halnashauri za jiji na wao ndio wanapanga mipango ya Maendeleo kwa kupitia vikao halali vya madiwani sasa kauli hizi za kebehi na ubabe zinatoka wapi? Na sheria gani inayoweza kumruhusu RC akaagiza halnashauri itumie Pesa kufanya jambo Fulani?
Kauli za kitoto zitaleta migogoro mikubwa. Ni kosa la kiufundi limetokea na dawa yake ajirekebishe na kuwa MTU mzima au aondolewe kama tabia yake haina dawa.
Wana Dar wabataka Maendeleo na sio mipasho.