Kosa la Kebwe ni lipi?

Hawa jamaa kweli wamedhamiria kuinyoosha nchi.

Ni zaidi ya mara tatu nimeshuhudia aina hii ya utumbuaji wa viongozi!

Nilianza zengwe la hivi kule Songwe kwa Chiku Galawa, akaja Kamishina wa Tra, sasa na huyu!

Unaonywa hadharani ili ujirekebishe juu ya utendaji wako wenye mapungufu, kumbe huku memo za kukutumbulia zikiendelea kutembezwa chini ya meza!

Nilichokigundua kwa hao viongozi ni kwamba, ukiona ziara ya mkubwa imekubadikikia, upepo umevurugika, aidha hata kwa watendaji wako wanaokuwajibikia, usijione 'umesevu' ukaanza kujipendekeza kwa maneno ya kimbelembele, kama alivyofanya Mchechu wa NHC kule dodoma kwa kumwita Jpm 'baba' badala ya 'mheshimwa' utakuwa unajidhalilisha tu.

Yakikutokea hayo nuna kabisa, usicheke na mtu, wala kujipendekeza kwa maneno ama kwa vitendo.

Jiandae kupokea walichokipanga kukufanyia.
Kufanya chochote hakibadilishi maamuzi, maana utakuwa umeshachelewa.
 
Na uongozi huu wa MAGUFULI unaweza ukalala ,una amka asubuhi iasikia mkuu kakuteua uwe mchotamaji wa msikiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mbavu zangu
 
Du kiongozi naona una mafungu ya biblia moto moto... Naomba unitajie yanatoka vitabu gani ili nitetee gambe langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…