Kosa Kukueleza Nakupenda....

Mahaba mpaka yanatangazwa hadharani ujue mtu ashapelekwa mpaka jikoni kapitiliza chumbani na kila kitu amekula kashiba😀😀😀😀

Ndo uzuri wa kuwa mtu mzima, unaelewa hata nikisema a e i o u na vitendo vinafuata.

Barabara kabisa wala hujakosea hehehee.
 
sawa mke wa kaka yangu ambapo wewe ni shemeji yangu kumbe kaka unampenda lakni tambua na mimi ni mmeo mdogo huwa napenda mahaba kaka akiondo wewe weka siri tambua sitasemelea kwa kwa kaka ,i love you Kasie
 
Hapana, nashukuru (no thanks).
 
Habari za usiku wa jumapili.

Mahaba bado yananizonga sili sipiki sifui sipakui. ..... mahaba haya looh! sina hamu.

Jua ni wewe....

Yes... wewe hapo... wewe wewe usigeuke nyuma ni wewe.

Kasie Mahaba.
Mimi au!?
 
Habari za usiku wa jumapili.

Mahaba bado yananizonga sili sipiki sifui sipakui. ..... mahaba haya looh! sina hamu.

Jua ni wewe....

Yes... wewe hapo... wewe wewe usigeuke nyuma ni wewe.

Kasie Mahaba.
Kiukweli mimi binafsi nikiambiwa na Mwanamke kuwa ananipenda....nasemea mwanamke ambae hatujazoeana/hata kama tumezoeana lakini sio girl friend wangu....Aisee nitaenda kumununulia chochote anachotaka...nitamuona jasiri sana sana sana na nitampenda sana sana...
Mwanamke jasiri ndo mwenyewe...
 
Uko sawa kabisaa...... ukipendwa tabasamu huwa halikauki usoni.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…