Kuwa muumini wa nyakati!
Nyakati zikifika zimefika TU,wakati wa kupata na wakati wa kukosa ni kawaida!!
Halafu mnamlaumu huyu mama kuhusu kuuza rasilimali kwani ni rais Gani aliepita hakuuza rasilimali!!?
Nitajieni!!!sijasema kama kuuza ni sawa au sio sawa!
Mniambie TU nani ambaye hakuuza rasilimali za nchi hii!!
Mi nadhani mama anapita mule mule kama watangulizi wake tu!!mkapa aliuza NBC Bank Hadi Nyerere akalia lia sana!!
Ninkweli TULIA ana trauma fulani hasa kwenye msiba wa lukuvi,unasemaje marehem alikufundisha wizi!!?