Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,202
sio kila kitu mpaka upekue shelfu za vitabu,mleta uzi yupo sahihi bikra ina impact yake kwenye ndoa tuliioa wanawake bikra tunalifahamu hilo,wemtu ameanza kuujua ulimbi tangu yupo darasa la saba ukamue wewe amemaliza chuo kuna kitu tena hapo?baki na lundo la vitabu hiloMleta Uzi Nina Shaka kidogo na elimu yako ama iwe ya darasani au ya mtaani...kuna mwanazuoni aliwahi kusema Binadamu wote wana hekima kabla hawajafumbua vinywa vyao...kama unaamini Bikra ndio inalinda ndoa pole sana tena pole...ningekusaidia baadhi ya vitabu ukavisome uongeze utashi
1) Falling in love again written by David & Carole Hocking
2) Life strategies written by Phillip C
3) Understanding the love of your life written by walk thru the Bible ministries
4) Mapenzi kuchipua na kunyauka written by Munga Tehanan
5) Ndoa yataka Moyo written by Faustin Mwikila Kamugisha
Ukishavisoma hivyo vitabu na vingine then utarudi hapa siku za usoni ama kuondoa Uzi wako huu au kujipinga na Uzi huu
Tatizo unakurupuka...Bikra haina impact yoyote katika kulinda Ndoa...nimeoa mke wangu 2012 na tumebahatika kupata Mtoto mmoja wa kike ana miaka mitatu now...sio kila kitu mpaka upekue shelfu za vitabu,mleta uzi yupo sahihi bikra ina impact yake kwenye ndoa tuliioa wanawake bikra tunalifahamu hilo,wemtu ameanza kuujua ulimbi tangu yupo darasa la saba ukamue wewe amemaliza chuo kuna kitu tena hapo?baki na lundo la vitabu hilo
sio kila kitu mpaka upekue shelfu za vitabu,mleta uzi yupo sahihi bikra ina impact yake kwenye ndoa tuliioa wanawake bikra tunalifahamu hilo,wemtu ameanza kuujua ulimbi tangu yupo darasa la saba ukamue wewe amemaliza chuo kuna kitu tena hapo?baki na lundo la vitabu hilo
Labda nikuulize mkuu;hivi kila mtu leo duniani itolewe amri arudi kwa mwanaume/mwanamke wake wa kwanza alie mbikiri itakuaje?????ww aliyekubikiri utamkuta????au nayy atakua kaenda kumfata aliembikiri!???Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.
Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu
Tunaoa sana kwasababu ya;
1- Mimba
2- Sura
Na bikra tunaziacha hili ni tatizo kubwa unaoa mwanamke aliyezoea jalamba saa tatu wewe nusu saa chali lazima awe anatoka nje maana humfikishi na kibaya wale wanaoenda kwa pupa kuandaana mwiko sekunde mbili huyo.
Wanawake walioolewa na bikra zao leteni comments
Najua hawa walioolewa wakiwa na ndoa tayari na ex wake watakataa tu
Ila mwanaume ili uishi vizuri na ufurahie ndoa tafuta bikra tu ukimwacha huyo utairudia.
kuoa mke ambaye hana bikraisikufanye uwe na jazba, mlaumu aliyemtoa mkeo bikra huwezi kutuelewa wenye wake mabikra lugha tunayozungumza hapa,na sio kwamba wanawake wanaoolewa bila bikra wana misbehave kwenye ndoa zao kuna wengi tu wanaojiheshimu kwenye ndoa zao,na pia wapo walioolewa na bikra zao na wana misbehave tunachozungumza ni ule utofauti wa kuoa mwanamke mbichi(bikra) na yule used (asiye na bikra) kama ambavyo umesikia hata EAC wanataka kuzuia vitu ambavyo ni USEDTatizo unakurupuka...Bikra haina impact yoyote katika kulinda Ndoa...nimeoa mke wangu 2012 na tumebahatika kupata Mtoto mmoja wa kike ana miaka mitatu now...
Sikumkuta na hiyo Bikra na huu mwaka wa nne tunaheshimiana kama tumekutana Jana. Ndoa ni vile vipaumbele mnavyovitanguliza plus Ndoa kukosa hofu ya Mungu...mambo ya Bikra ni dhana finyu
Wapo wengi wameoa Bikra na bado wanagongewa kama kawaida...
Tatizo umeshindwa kunielewa kijana, nimekwambia kwa lugha nyepesi kabisa Bikra sio guarantee ya Ndoa kudumu ndipo nikakupa mfano kwamba Mimi sijaoa Bikra na bado tunaheshimiana sana. Nikakwambia kinachoharibu Ndoa nyingi ni vipaumbele vyao ukijumlisha na kutokuwa na hofu ya Mungu..ila naona umekuja kwaajili ya kubishana na sio kujifunza, hivyo nikuache na ubishi wako mkuukuoa mke ambaye hana bikraisikufanye uwe na jazba, mlaumu aliyemtoa mkeo bikra huwezi kutuelewa wenye wake mabikra lugha tunayozungumza hapa,na sio kwamba wanawake wanaoolewa bila bikra wana misbehave kwenye ndoa zao kuna wengi tu wanaojiheshimu kwenye ndoa zao,na pia wapo walioolewa na bikra zao na wana misbehave tunachozungumza ni ule utofauti wa kuoa mwanamke mbichi(bikra) na yule used (aiye na bikra) kama ambavyo umesikia hata EAC wanataka kuzuia vitu ambavyo ni USED
Labda nikuulize mkuu;hivi kila mtu leo duniani itolewe amri arudi kwa mwanaume/mwanamke wake wa kwanza alie mbikiri itakuaje?????ww aliyekubikiri utamkuta????au nayy atakua kaenda kumfata aliembikiri!???
Concept yangu ni kwamba,.kama hayo unayoyasema ili yaepukike hakuna budi mume na mke wote kuwa mabikira,usiseme tuu oooh wanaume tuoe wanawake tulio wabikiri je,kwa wale waliobikiri zaidi ya mwanamke mmoja awaoe wote???
ndio na mimi nakujibu kwamba bikra ina impact katika kulinda ndoa,hivi hujasikia watu wengi wanaacha kwaajili ya the so called ex-boy/girl friend???au umetia macho na masikio pamba??jaribu kuoa mwanamke aliyeachika au aliyezaa na mtu uone msala wakeTatizo unakurupuka...Bikra haina impact yoyote katika kulinda Ndoa...nimeoa mke wangu 2012 na tumebahatika kupata Mtoto mmoja wa kike ana miaka mitatu now...
Sikumkuta na hiyo Bikra na huu mwaka wa nne tunaheshimiana kama tumekutana Jana. Ndoa ni vile vipaumbele mnavyovitanguliza plus Ndoa kukosa hofu ya Mungu...mambo ya Bikra ni dhana finyu
Wapo wengi wameoa Bikra na bado wanagongewa kama kawaida...
Umesema kweli shehe...tutajitahi kutafuta ma bikra
Naanza kupata faida za mabikra... Baadae utatupa ujuzi wa namna ya kuishi nao na kuwatoa hizo bikra bila kero.
Pia utujuze na changamoto cha hao mabikra ktk ndoa
Mkuu mpaka nikaoa sikukurupuka, nilishatoa visichana Bikra kama vitatu na sikuvioa...na uzuri zaidi mke niliyenaye tunaheshimiana na anajali future in short am happy to be with her ndio hapo ninapopinga kwamba Bikra haina positive impact kwenye Ndoa sababu Mimi ni mfano mkubwa tundio na mimi nakujibu kwamba bikra ina impact katika kulinda ndoa,hivi hujasikia watu wengi wanaacha kwaajili ya the so called ex-boy/girl friend???au umetia macho na masikio pamba??jaribu kuoa mwanamke aliyeachika au aliyezaa na mtu uone msala wake
Tatizo umeshindwa kunielewa kijana, nimekwambia kwa lugha nyepesi kabisa Bikra sio guarantee ya Ndoa kudumu ndipo nikakupa mfano kwamba Mimi sijaoa Bikra na bado tunaheshimiana sana. Nikakwambia kinachoharibu Ndoa nyingi ni vipaumbele vyao ukijumlisha na kutokuwa na hofu ya Mungu..ila naona umekuja kwaajili ya kubishana na sio kujifunza, hivyo nikuache na ubishi wako mkuu