Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
amepuuza mahakama wala hajampuuza Mungu wake, acha unafiki, cha msingi tuangalie sababu zilizomfanya aipuuze mahakama, pengine alikuwa na ratiba ya maombiHuyu ni kiongozi wa dini amepuuza amri ya mahamakama.Wengine wasio viongozi wa dini watafanyaje?
amepuuza mahakama wala hajampuuza Mungu wake, acha unafiki, cha msingi tuangalie sababu zilizomfanya aipuuze mahakama, pengine alikuwa na ratiba ya maombi
Huyu ni kiongozi wa dini amepuuza amri ya mahamakama.Wengine wasio viongozi wa dini watafanyaje?
mahakama inajishushia hadhi yenyewe, ikipuuzwa na serikali inilmaba miguu, watu binafsi ndio nasikia amri ya kukamatwa inatolewa. kama inataka kuheshimiwa ithibitishe kwanza kwa matendo yake, itoe haki kwa watu masikini, sio ikubali kutumiwa kuwatupa magerezani............
no usijari sina nia mbaya sorry kama nimekukwaza hiyo ni kwa ya huyo mwana habari isipokuwa imepitia kwako kwa vile wewe ndo umeleta hii habariHey,ndugu yangu mbona unanitusi bure?unajua maana ya unafiki?mimi nilichosema ni kwamba kama kiongozi wa dini anatakiwa kuwa mfano..Kuupuza mahakama sio mafano mzuri hata kama angekuwa na sababu za muhimu.Biblia iansema tuheshimu mamlaka zilizowekwa....acha hasira ndugu yangu,jenga hoja.Pole kama nimekuudhi sio lemgo langu..
ni kweli kabisa lakini si kwa mahakama za kinafiki, utii kwa Mungu ni bora kuliko dhabihu, unataka hata kumtii mganga wa kienyeji ni bora kuliko dhabihu? ndugu usiinukuu Biblia kwa kuisaidia uelekeoNi kweli kabisa lakini sio hoja hapa.hapa hoja ni kiongozi wa dini kukuoa utii.Biblia inasema Utii ni Bora kuliko dhabihu(Sadaka)
kuvunja miundombinu ya watu ni ratiba ya maombi?amepuuza mahakama wala hajampuuza Mungu wake, acha unafiki, cha msingi tuangalie sababu zilizomfanya aipuuze mahakama, pengine alikuwa na ratiba ya maombi
Huyu ni kiongozi wa dini amepuuza amri ya mahamakama.Wengine wasio viongozi wa dini watafanyaje?
Huyu ni kiongozi wa dini amepuuza amri ya mahamakama.Wengine wasio viongozi wa dini watafanyaje?
Mie hawa watu wananiacha hoi,but kuna kipegele fulani ndani ya biblia kinasisitiza MUUMINI kutii mamlaka zilizo juu yake,sasa huyu sijui kafanyaje!!
tatizo lako unakariri kifungu badala ya kukielewa, utii huo, unajua unahusu nini? maana sadaka twatoa kwa Mungu, hivyo sadaka, kama Mungu humtii sadaka yako ataitaka ya nini, inamaanisha kwa Mungu utii ni bora kuliko dhabihu yaani sadaka, na si pahari pengine panapohusisha akili za mwanadamuNi kweli kabisa lakini sio hoja hapa.hapa hoja ni kiongozi wa dini kukuoa utii.Biblia inasema Utii ni Bora kuliko dhabihu(Sadaka)
kuchagua wa kumtii ni jambo la muhimu kwa mtu anayejitambua na kuwa na akili timamu, huwezi ukawa unatii kila kitu, we labda uwe mlevi anayeamua kutukana kila mtu au kusalimia kila mtu, iweje ufundishwe namna ya kuutumia utii? usipochagua pa kupeleka utii wako, utawatii hata wachawi, walawiti, wafiraji, na waongo, harafu unategemea nini ukiwatii watu hao? Mahama za Tanzania nyingi zimekuwa hazitendi haki, kama hazitendi haki maana yake zinaongozwa kishetani, Kwa sababu Mungu ni wa haki hivyo hazikutoka kwake, kwa hiyo kuzipuuza ni kumpuza shetani nba mahakama zakeNa ndio hoja yangu kuu.Yeye kama kiongozi wa dini anapaswa kutii and then mengine yatafuata baadaye.Huu ni utii gani wa kuchagua wa kumtii?
amepuuza mahakama wala hajampuuza Mungu wake, acha unafiki, cha msingi tuangalie sababu zilizomfanya aipuuze mahakama, pengine alikuwa na ratiba ya maombi
Ni kweli kabisa lakini sio hoja hapa.hapa hoja ni kiongozi wa dini kukuoa utii.Biblia inasema Utii ni Bora kuliko dhabihu(Sadaka)
Ngoja tusubiri tuone nini kinatokea na nani kakosea kati ya mahakama na mtumishi huyo wa Mungu.
amepuuza mahakama wala hajampuuza Mungu wake, acha unafiki, cha msingi tuangalie sababu zilizomfanya aipuuze mahakama, pengine alikuwa na ratiba ya maombi
unapokisoma iulkize Biblie ni mamlaka gani zilizo juu? siyo unasoma then imetosha utapotea, kuidadisi Biblie ni kumdadisi Mungu, na ye kasema Mwanadamu hata eseme uongo....endelea utapata maarifa zaidiMie hawa watu wananiacha hoi,but kuna kipegele fulani ndani ya biblia kinasisitiza MUUMINI kutii mamlaka zilizo juu yake,sasa huyu sijui kafanyaje!!