Korosho kanda ya ziwa

Korosho kanda ya ziwa

Dkanimba

Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
10
Reaction score
2
Habari wana jamii forum, zao la korosho nimeona likilimwa sana pwani sasa nimekua nikijiuliza hivi je kuna uwezekano wa kulima hili zao la korosho katika ukanda wa ziwa (ziwa viktoria, Mwanza? Naombeni msaada wenu.
 

Attachments

  • b52113afd81b99289026c9a101018e26.jpg
    b52113afd81b99289026c9a101018e26.jpg
    33.1 KB · Views: 72
Nahisi Bodi ya korosho wanaweza kusaidia kwa hili
Samahani, kwa nini? Sema mimi nataka tu kujua kama ni jambo linalo wezekana kutoka kwa wana jamiiforum. Sema ushauri wako pia nita ufanyia kazi ila kwa sasa naomba mawazo kutoka humu.
 
Nimewahi kumsikia mtaalamu kutoka kituo cha naliendele akisema kuwa Jambo hilo linawezekana.
 
Bahi, Singida, Kyela wanalima Korosho sasa. Pengine na huko zinaweza stawi!
 
Waziri mkuu alipokuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Tabora aliwashauri wakulima wa mkoa huo kuanza kulima zao la korosho kwani hali ya hewa na tafiti zilizofanywa zinaonyesha zao hilo linastawi vizuri katika eneo hilo. Hali ya hewa ya Tabora, Shinyanga, Singida na Mwanza zinafanana hivyo unaweza kuwasiliana na bodi ya korosho au kituo cha utafiti cha Naliendele kuomba kupatiwa mbegu ambazo wanagawa bure kwa wakulima.
 
Back
Top Bottom