Kaja na lingine sijui wataacha kuhimiza aachane na vinu vya nuklia wataanza kuhimiza aachane na hili lisilojurikana.Wale pro usa eti walikuwa wanasema Kiduku kasalenda mara Trump kiboko .wakati kiduku yupo ki strategic thats north korea
Saahivi Japan, S.Korea na wengine wataagiza silaha USHili gemu bado lipo na litaendelea kuwepo tu coz kuna watu wanafaidika na huu mgogoro including US mwenyewe.
ulitaka wafanyeje labda.Hakuna kitu kibaya kama umasikini, umasikini huleta chuki, umasikini huleta uasi na umasikini huleta vifo.
.
North Korea wana-experience maisha magumu sana kuliko ya mwananchi wa tandahimba.
.
Wanaimarisha jeshi wakati uchumi ni mdogo What if mataifa yote yakaacha kuwapelekea bidhaa muhimu kama mafuta n.k kwa sanctions za US, China wanawavumilia lakini ipo siku watachoka.
Waimarishe uchumi wao kwanza ndipo waanze kufanya uwekezaji mkubwa wa billions of money kwenye jeshi lao.ulitaka wafanyeje labda.
wakiacha kutengeneza silaha watavamiwa kijeshi, wacha waendelee mpaka pale watakapoamua kufanya mabadiliko.ya kisiasa ili kuondoa uadui kwa mataifa ya magharibi uliopo.Waimarishe uchumi wao kwanza ndipo waanze kufanya uwekezaji mkubwa wa billions of money kwenye jeshi lao.
.
Mfano mzuri ni Tanzania tuanze kutumia uranium zile tutengeneze chemical weapons tuwekeze mabilion kwenye vifaa na silaha za kijeshi wakati ni taifa masikini sanaaa.
Mkuu hata sasa wanaweza kuvamiwa na kupigwa vibaya mno na muamerica lakini kuna athari itajitokeza hakutakuwa na "Cold war" tena bali vita halisi yaani WW3.wakiacha kutengeneza silaha watavamiwa kijeshi, wacha waendelee mpaka pale watakapoamua kufanya mabadiliko.ya kisiasa ili kuondoa uadui kwa mataifa ya magharibi uliopo.
Wenyewe hawaamini MUNGU wetumungu wabariki sana korea kaskazini
Mende hatumie oxygen!?Mkuu hata sasa wanaweza kuvamiwa na kupigwa vibaya mno na muamerica lakini kuna athari itajitokeza hakutakuwa na "Cold war" tena bali vita halisi yaani WW3.
.
Russia ataingia, China ataingia na wengineo ambao wananafkiana na marekani (Nchi za kiislam). NB: si zote
Wakiingia hao Ukraine ataingia na Soviet country zote zitaingia japan, s.Korea, Canada, Germany, Israel, France, UK, Brazil n.k.
.
Itakuwa ni hatari ndio maana inatumika njia ya mazungumzo, mitambo yao ni hatari hata kwako muafrica likipigwa bomu la nuclear hatubaki kaka atabaki mende tu
Ni utafiti uliofanywa kisayansi bomu la nyuklia likipigwa ni yeye pekee anayeweza kusavaivu.Mende hatumie oxygen!?
View attachment 936813
Kidugu kina square sijuwi huwa kinachogwa na wembe wa alimasi
Wale pro usa eti walikuwa wanasema Kiduku kasalenda mara Trump kiboko .wakati kiduku yupo ki strategic thats north korea