Huwa nawashangaa sana watu wanaobabaika na Korea ya Kaskazini. Watu wanajidanganya kusema eti Marekani inamuogopa Mkorea lakini ukweli ni kwamba North Korea Hana uwezo wa hata robo wa kupigana na Marekani. Wanachojivunia ni uwezo wao wa kuipiga Korea ya Kusini na Japan ambazo zimeendelea sana kiuchumi lakini hazijishughulishi na umiliki wa silaha za hatari. Mnajua historia ya Japan ni sawa na Ujerumani ambazo ziliwekewa vikwazo via kutomiliki silaha za maangamizi baada ya nchi hizo kuichachafya dunia mwaka 1939 - 1945 kwa namna ambazo haijawahi kutokea tena duniani.KOREA BANA WANASHANGAZA SANA TECHNOLOGY WANAYOPATA WAO WENZAO WALIKUWA NAYO MIAKA YA SABINI.ACHA WAPIGWE TU MAANA WANAONGEA SANA.
Huwa nawashangaa sana watu wanaobabaika na Korea ya Kaskazini. Watu wanajidanganya kusema eti Marekani inamuogopa Mkorea lakini ukweli ni kwamba North Korea Hana uwezo wa hata robo wa kupigana na Marekani. Wanachojivunia ni uwezo wao wa kuipiga Korea ya Kusini na Japan ambazo zimeendelea sana kiuchumi lakini hazijishughulishi na umiliki wa silaha za hatari. Mnajua historia ya Japan ni sawa na Ujerumani ambazo ziliwekewa vikwazo via kutomiliki silaha za maangamizi badala ya nchiizo kuichachafya dunia mwaka 1939 - 1945 kwa namna ambazo haijaahi kutokea tena duniani.
Kwa hiyo hour iko kwa mad hata yanayoweza kuwapata washirika wa Marekani na si vinginevyo. Kumbuka tambo za Cuba, Libya na Iraq mtaelewa kuwa Vinchi vidogo vinavyotawaliwa na madikteta vina tabia gain. Kama Russia na China wako nyuma kwa Marekani, sembuse North Korea ambayo kwa Mashariki ya Mbali ndiyo nchi masikini ambayo watu wake wanakufa eti kwa njaa kama huku kwetu Bongoland.
Acha kabisa kukidanganya kichwa chako. N. Korae hana uwezo wa kiteknologia au kiuchumi wa kupigana na marekani hata kwa muda wa robo mwaka. Tena kama kweli upo huko mshauri bonge nyanya asije akajaribu kujitutumua ata-perish abaki kwenye vitabu vya historia.Npo huku north korea U.S.A atapgwa saa 4 asbhi hawawez jamaa
hapo mgomvi sio mkorea ila marekani wanamuogopa na kutaka kumzuia huyo mkorea aache kutengeza nyuklia maana marekani wanataka wao ndio wawe juu siku zote wacha mkorea aonyeshe uwezoKOREA BANA WANASHANGAZA SANA TECHNOLOGY WANAYOPATA WAO WENZAO WALIKUWA NAYO MIAKA YA SABINI.ACHA WAPIGWE TU MAANA WANAONGEA SANA.
Kama waarabu tu anaowaoneage mf syria, ni mwaka watano huu bado hawajafanikiwa kumtoa /kumuua bashar, sembuse north korea!. USA kwa sasa hadhi ya ufupa pawa interm of millurary umepungua sana. 김 종 은 /Kim jong un/ alishasemaga kuwa yeye si mwarabu.Acha kabisa kukidanganya kichwa chako. N. Korae hana uwezo wa kiteknologia au kiuchumi wa kupigana na marekani hata kwa muda wa robo mwaka. Tena kama kweli upo huko mshauri bonge nyanya asije akajaribu kujitutumua ata-perish abaki kwenye vitabu vya historia.
Kama ni kweli kwa unayosasema, usa wasingefanya majalibio ya kujalibu kudugua makombola ya NK kwa destroyer zao ambazo zina uwezo wa kutungua makombola yao wenyewe. Wao wanasema kuwa NK hana kombola la kufika mainland ya marekani, destroyer za nini?KOREA BANA WANASHANGAZA SANA TECHNOLOGY WANAYOPATA WAO WENZAO WALIKUWA NAYO MIAKA YA SABINI.ACHA WAPIGWE TU MAANA WANAONGEA SANA.
Subir sisi huwa hatuimbi taarabu kma TrumpAcha kabisa kukidanganya kichwa chako. N. Korae hana uwezo wa kiteknologia au kiuchumi wa kupigana na marekani hata kwa muda wa robo mwaka. Tena kama kweli upo huko mshauri bonge nyanya asije akajaribu kujitutumua ata-perish abaki kwenye vitabu vya historia.