Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 8,844
- 27,550
Kwa AKILI YA KAWAIDA KABISA unadhani kuna nchi ina kombora la ajabu zaidi ya yaliyoko US na URUSI???!!vitu vingine havihitaji akili ya ziada.Kama ni kweli kwa unayosasema, usa wasingefanya majalibio ya kujalibu kudugua makombola ya NK kwa destroyer zao ambazo zina uwezo wa kutungua makombola yao wenyewe. Wao wanasema kuwa NK hana kombola la kufika mainland ya marekani, destroyer za nini?