Korea Kaskazini yazuia meli ya Urusi

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya Japan, ikiwa na watu watano.
Ripoti zinasema mashua hiyo ilizuiliwa wakati ilipokuwa inarudi Urusi, baada ya kushiriki kwenye mashindano ya mashua.
Wanabalozi wa Urusi wanataka watu waliokuwemo kwenye mashua hiyo waachiliwe huru haraka, na kwa sasa inaomba ruhusa ya kuwazuru.
Kawaida Urusi ni moja kati ya nchi chache, zenye uhusiano wa karibu na Korea Kaskazini.
 
Na wasiwasi hao sio warusi bali ni maadui wa N.K wanatumia mashua ya Urusi kupenya eneo hilo
 
Dah! Yaani huyu dogo wa Korea Kaskazini huwa hana swahiba kabisa. Warusi na Wachina ndio humkingia kifua, sasa leo anajitutumua hata dhidi yao.

Apigwe tu sasa.
 
Dah! Yaani huyu dogo wa Korea Kaskazini huwa hana swahiba kabisa. Warusi na Wachina ndio humkingia kifua, sasa leo anajitutumua hata dhidi yao.

Apigwe tu sasa.

nilisoma habar juzi kwamba Russia wameanza kuiwekea north korea vikwazo. Heanda hii imemkera bwana kim
 
Misunderstanding: N Korea Explains Detention of Russian Yacht With Athletes

Read more: Misunderstanding: N Korea Explains Detention of Russian Yacht With Athletes

1039615069.jpg


North Korea has explained the detention of a yacht carrying Russian athletes, saying it was a misunderstanding, Russia's Consul General in North Korea's Chongjin Yuri Bochkarev said Sunday.
 
Back
Top Bottom