Krikichino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 651
- 1,098
No ili waelewane vyema inabidi North iache mfumo wake wa kujitenga, ukommunisti, kutesa Wananchi wake na iache ubabe wa kijinga dhidi ya majirani zake. Hapo wataelewana na kuungana Kabisa.
Ikumbukwe North ndo ilianza the Korean War not South.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikumbukwe North ndo ilianza the Korean War not South.
Ili hawa wandugu waelewane vyema nakupatana vyema inatakiwa taifa la US lianguke KISIASA KIUCHUMI NA KIJESHI lasivyo hawatakaa wapatane mpaka DUNIA inafikia Ukingoni.
Sent using My COVID-19
Sent using Jamii Forums mobile app