Korea Kaskazini yakinukisha kwa kufyatulia Korea Kusini marisasi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Baada ya tetesi kwamba Kim wa Korea ameibuka na hajafa, Korea Kaskazini imeamua kuliamsha dude kwa marisasi, ila Korea Kusini nao walijibu salamu muda huo huo kwa kufyatua pia. Korea zote mbili sasa zimekaa mkao wa kulipuana muda wowote.
=======================

  • South Korea's Joint Chiefs of Staffs said in a statement that North Korea had fired a series of gunshots towards the country early Sunday
  • The shots ere fired towards a guard post in South Korea
  • South Korea said it responded by firing two shots back towards North Korea
  • The South said it is taking action to try to 'grasp the detailed situation'
  • News of the attack came just one day after North Korea leader Kim Jong-Un resurfaced amid escalating reports he had died
North Korea has fired multiple gunshots towards South Korea, the South's Joint Chiefs of Staffs (JCS) said in a statement.

A series of gunshots were fired from North Korea early on Sunday towards a guard post in South Korea that borders the North.

News of the attack came just one day after North Korea leader Kim Jong-Un resurfaced amid escalating reports he had died.
 
South Korea yasema kuwa askari wa North Korea wamerusha risasi nyingi kuelekea post ya ulinzi wa mpaka huo ya South Korea. Baada ya South Korea kutoa warning kupitia kipaza sauti cha mpakani, nao wakarejesha risasi kadhaa.

Hata hivyo South Korea imesema kuwa yaonesha risasi hizo zilizorushwa na North Korea hazikuwa za kukusudia. Hakuna maafa yoyote yaliyotokea kwa upande wa South Korea.

Hayo yanajiri baada ya Kim kutoka mafichoni alikokaa kwa wiki 3, jambo lilopelekea mahasimu wake kumzushia kifo. Pengine hizo risasi zilikuwa ni salamu na amshaamsha tu kuwa mtemi Kim yupo fiti kama kawa.

Kwingineko Trump katweet akimkaribisha tena Kim baada ya kuzushiwa kifo. Na ameahidi ataongea nae leo.

Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa, kutoonekana Kim kwa siku 20, na kutofahamika hasa alichokuwa akifanya huku tetesi zikienea duniani kuwa Kim amekufa au yuko mahututi, yaonesha udhaifu wa intelijensia za mataifa ya magharibi na washirika wao ktk kushindwa kutambua yanayojiri ndani ya North Korea.

Chanzo: SCMP.COM

======

North and South Korea troops exchange fire along land border
  • South Korea says multiple shots were fired from North Korea towards guard post, but ‘not deemed intentional’
  • Violent confrontations have occasionally occurred along the border, the world’s most heavily fortified

9bdbc676-8cff-11ea-8a72-3b4a65ec119d_image_hires_134626.jpg

North and South Korean troops exchanged fire along their tense border on Sunday, the South’s military said, blaming North Korean soldiers for targeting a guard post.

The Joint Chiefs of Staff in Seoul said in a statement that North Korean troops fired several bullets at a South Korean guard post inside the heavily fortified border. South Korea fired two rounds in response after issuing a warning broadcast, it said.

The South Korean military later said the North Korean gunshots were “not deemed intentional” and that South Korea suffered no casualties.
 
...Hawa ndugu wawili ni bora wakashirikiana kupambana na Corona.
 
Hawa ndugu sijui lini huwa wakipatana inakua ni kinafiki tu
Ili hawa wandugu waelewane vyema nakupatana vyema inatakiwa taifa la US lianguke KISIASA KIUCHUMI NA KIJESHI lasivyo hawatakaa wapatane mpaka DUNIA inafikia Ukingoni.

Sent using My COVID-19
 
aiseee aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom