Korea Kaskazini vs Marekani katika picha

Mbona wanapewa chakula cha msaada na wamshukuru Mchina anawabeba sana!
Mambo hubadilika.
TZ kuna wakati tunapokea chakula cha msaada
Lakini nina uhakika wewe
hujawahi kula chakula cha msaada.
kwa hali mbaya ya hewa Korea kask. huwa ndio sababu kuu wala zi uzembe......Oct 14, 2014 - NK News claims that over the first eight months of this year, “North Korea exported more food than it received in food aid in the whole of 2011”.
 
mkuu cjawahi kufika lakini naona hlo haliwezekani washngtoni kuwe na ombaomba km kariakoo au moroko mataa! sasa yale mabilioni wanayotusaidia si wangesaidia watu wao?
 
mkuu cjawahi kufika lakini naona hlo haliwezekani washngtoni kuwe na ombaomba km kariakoo au moroko mataa! sasa yale mabilioni wanayotusaidia si wangesaidia watu wao?

Nimecheka sana....comrade, naishia hapo. maana mambo haya ni mazito..lakini .comrade, wakati mwingine ni afadhali ya ombaomba wa kariakoo kwani akiondolewa anaweza akapelekwa kwao iwe ni Dodoma, Singida, na kwingineko...kule atapokelewa kwani ana kwake na pia ardhi...lakini ombaomba wa Washington DC (USA) au kule Bombay (india) usiombe Ndugu yangu...kule ukiambiwa ni homeless na ni kweli ni homeless, ardhi ni ya watu siyo ya serikali au ya Rais kama ilivyo Tanzania....unajua huko India, Mama Theresa alipata umaarufu kwa kuwahudumia watu hohehahe masikini wasio na nyuma wala mbele, yaani wanaishi kama wanyama...wee acha, mara nyingine unawaangalia baadhi ya Ndugu zetu wanaotamba humu na magari na hasa huko 'beach' unatingisha kichwa tu...this is a cruel world.
 


Sasa lugha ya Kiingereza inaingiaje hapa? Kuna uhusiano gani kati ya Mada husika na lugha ya Kiingereza?
 
Kuna watu weusi wanaishi huko Korea ?au hata kutembelea ?
Kwa uzito wa sheria za huko hakuna kiumbe kutoka tanzania kinachoweza kuishi NK!! Maana kule ukisikika unataja neno demokrasia ujue umeikumbatia mauti,mahali mtu haruhusiwi hata kumiliki gari? Internet marufuku,hata jina linalofanana na la rais ni marufuku huko,mtu wa maana huko ni mwanajeshi tu!!kha! Li nchi gani hilo bwana! Bora niishi kwa uji usio hata na chumvi hapahapa Tz kuliko kwenda mahali pasipo na maana.
 
Hiyo ni South Korea na sio North Korea wacha kuwashika watu wewe
 
Hata dini mkuu ... Hakuna uislamu wala ukristu ukikutwa na biblia au Quran ni kifo tu.... Wana dini hao ya asili Shamanism.... Ni hatari sana hawa jamaa
 
Hiyo ni South Korea na sio North Korea wacha kuwashika watu wewe
Pyongyang IPO north Korea wewe.... Acha ubepari .... Ungejua wakati wanavunja Korea na kuwa north na south ..... Kulikua na msukumo gani .... Upande UPI ulikuwa na maendeleo..... Seol ( Korea kusini) yalikuwa ni mashamba tu ...viwanda na maendeleo vilikuwa ( pyongyang) (north).....
 
yaani picha zote zenye watu sijaona ngozi nyeusi,yaonyesha nao ni wabaguzi flani wa rangi afu wewe unajipendekeza hapa kuwatangaza,hovyo kabisa.
 
yaani picha zote zenye watu sijaona ngozi nyeusi,yaonyesha nao ni wabaguzi flani wa rangi afu wewe unajipendekeza hapa kuwatangaza,hovyo kabisa.
Hatuwezi kuishi kwa sheria asee..... Umalaya mwingi ... Tunatupatupa vitu hovyo hata uko marekani nenda mitaa ya blacks afu pita ya whites.... Tukienda north Korea tutakufa kika siku
 
mkuu cjawahi kufika lakini naona hlo haliwezekani washngtoni kuwe na ombaomba km kariakoo au moroko mataa! sasa yale mabilioni wanayotusaidia si wangesaidia watu wao?
Marekani hawatoagi msaada. Wanatengeneza ajira kwa makampuni yao ya kimarekani. Ndo maana asilimia 80 ya pesa ya msaada inarudi kwao
 
yaani picha zote zenye watu sijaona ngozi nyeusi,yaonyesha nao ni wabaguzi flani wa rangi afu wewe unajipendekeza hapa kuwatangaza,hovyo kabisa.
Mie nakupa Elimu
Sasa lini ungejua kwamba hakuna ngozi nyeusi huko
We kmabako?
 
Mie nakupa Elimu
Sasa lini ungejua kwamba hakuna ngozi nyeusi huko
We kmabako?
hiyo kmabako nashukuru nimeshindwa kuelewa maana yake,nilitaka kuhisi kuwa ni tusi lkn hakuna tusi la ivo nimewahi kulisikia,usipandwe na jazba mimi kusema ukweli,pia binafsi hakuna elimu yeyote uliyonipa hapo,we unaona kuna mtu umemuelimisha?acha kutumia nguvu kwenye mambo ambayo hayahitaji nguvu..siku hizi watu kama nyie ndio mnaambiwa HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…