Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

mchukunuzi

Member
Jan 2, 2017
89
89
Kutokana na utafiti uliofanywa na KoraAwards, umebaini kuwa, katika kipindi hiki ambacho soko la mziki Afrika linakuwa kwa kasi, katika sehemu mbali mbali, duniani mwanamziki kutoka Tanzania Alikiba ni wa pili kwa mauzo kwa upande wa Afrika kwa sasa. Jambo la kujivunia ni kuwa mziki wa Tanzania umeweza kupenya kwa kasi na kupendwa kwa kasi barani Afrika. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Alikiba
92bcae7564c8b5f37d8eb77dcb3c07c2.jpg
 
Back
Top Bottom