Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Kwani huwa siogi? Toilet paper huwa zinatumika dunia nzima kama yanavyotumika maji. Tatizo la haya makopo ni jinsi gani wengine wanayatumia, huwezi jua mwenzio aliyekutangulia chooni ana aina gani ya kulishika na kulitumia hilo kopo!Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Kwani huwa siogi? Toilet paper huwa zinatumika dunia nzima kama yanavyotumika maji. Tatizo la haya makopo ni jinsi gani wengine wanayatumia, huwezi jua mwenzio aliyekutangulia chooni ana aina gani ya kulishika na kulitumia hilo kopo!
Umenichekesha sana lol!Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Cha kukaa kinaniboa sana hasa kwenye maeneo ambayo hakuna maji ya kutosha, magonjwa haya ya kuambukizana kama kinatumiwa na watu wengi ni balaa!! Kwa kweli mara nyingi namaliza shughuli home kabla ya kutoka na Toilet Paper haibanduki mfukoni in case kama tumbo likinipindukia mitaani.lakini kama kimba lako mara nyingi lina urojo urojo na jepesi ni issue bila maji ya kutosha . Lakini kwa wale wanafofyatua mbolea ngumu ngumu ama ya mbuzi hata tissue haina maana . mradi umechana msamba vizuri na hufanyi haraka kumaliza shughuli kitu kinatoka bila kuacha masalia kwenye tigo.....
Na hapo no tunakuja wenye suala lingine la aina ya choo. Choo Kizuri ni cha kuchuchumaa maana kinaruhsusu pressure ya kimba litoke vizuri zaidi kuliko ile ya kukaa.
Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Sabuni ya nini tena kama unatumia Toilet paper vizuri? labda kama unatumia maji.
Hapo kwenye mikono ndiyo swali langu hasa. Ni wangapi kwa kweli huwa wakitoka chooni huwa wananawa mikono yao vizuri, kwa sabuni au wakishamaliza wanaona yale maji ndiyo kila kitu?Nauliza swali hili kwa wanaopenda kutumia maji. Vyoo vingi au vyote vinavyoweka kopo la maji haviweki sabuni. Sasa ukishafinyanga hayo mambo kwa maji utasafishaje mkono. Au ndiyo mkono wa kushoto ni wa kuuogopa sana ukikutana na mtu?
Hapo kwenye mikono ndiyo swali langu hasa. Ni wangapi kwa kweli huwa wakitoka chooni huwa wananawa mikono yao vizuri, kwa sabuni au wakishamaliza wanaona yale maji ndiyo kila kitu?