Mkuu huu ndio utamaduni wetu wa asili sisi waswahili na tuko radhi kukaa na njaa bila kuukosa huu uhondo na tuko tayari kabisa kuetelekeza familia bila huruma tena na watoto na tunahamia kwa kimada na hasa pale tunapo pokea mshahara na ukimalizika kamshahara ndio hurudikwa familia sasa hapo ni starehe au ni mateso tena makubwa