Konstebo Nguzu

Hajaeleza hatima ya Dr. Kobo, Jeremia, Insp. Kobo na hata Nguzu mwenyewe
Hajaeleza mwisho wa huyo aliyekuwa Angusha mbuyu" pia hajatufahamisha kuwa ninani"'? hajatueleza pia namna ambavyo IGP mstaafu alivyopanga mipango ya kutibua operation aliyoshiriki inspector(shinyanga ")... Yaani kwa upande wangu mpaka simulizi hii inaisha Aisee sijaielewa...
 
Umeona eeeh!
Sijui amekuja kukwama wapi wakati kaanza riwaya yake vizuri kabisa. Kiukweli umaliziaji wake umeondoa ladha yote ya hii riwaya.
 
nimefika ...nimeshamalizana na Elvis .patricia graca. Juliana. Doreen na Steven ... sasa makazi ya muda yatakuwa hapa" mpka kieleweke". twende bumper to bumper
Zote ziko humu? Kati ya hizo ulizozitaja ni ipi kali nikaisome, na vipi zimeshafika mwisho au ndo ile unaisubiria mpaka hamu inausha
 
Zote ziko humu? Kati ya hizo ulizozitaja ni ipi kali nikaisome, na vipi zimeshafika mwisho au ndo ile unaisubiria mpaka hamu inausha
hiyo ni hadithi moja mkuu " na hayo ni majina ya victims ".. hiyo ipo mwanzo mwisho ..na ukiisoma hautojutia muda wako .. hakuna mtu anayetunga hadithi kwa sasa tz kama Patrick ck ... ngoja nikutag ukajionee maajabu ya uwezo wa IQ ya huyo jamaa
 
Shukrani, nangojea tag yako ili nimalizie weekend yangu vyema
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…