Konokono Beach Resort Zanzibar yaungua moto

Miunda

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
530
182
Kuna taarifa kuwa hotel ya Fatma Karume huko Zanzibar imeungua moto, inasemekana ni political motivation.

Kwa sababu ya msimamo wake wa kupinga uchaguzi na kumtaka Shein kuondoka madarakani kwani anavunja katiba ya nchi.
kono1.jpg
kono2.jpg
 
Hivi ni kwanini mtu usikubali kushaurika na ukatumia busara katika kuongoza taifa bila kuingiza chuki!!huyu mtu atafukuza watu wengi Sana kwa chuki na maneno ya kuambiwa!!!
pole sana hivi unahitaji kuambiwa kuhusu ufisadi wa NIDA unasubiri kuambiwa kuhusu ufisadi wa mabalozi huko wanalala huko nje kwa kutumia pesa zetu , huku wakiwa hawwna faida yoyote ile
 
Sidhani kama kwa ufahamu wake wa kisheria, hatakua hajaweka bima, ila sio sahihi vile vile vile kuoanisha moja kwa moja misimamo yake na ajali, ajali zipo,, na misimamo haiwezi kua kinga ya ajali...
 
siasa chafu za TZ sijui zitaisha lini,...
Sijui fatma alikuwa na bima,..kma alikuwa na bima bs atajengewa nyingine
 
Back
Top Bottom