"kongwa beef" nyama bora toka tanzania

"kongwa beef" nyama bora toka tanzania

Status
Not open for further replies.

SYENDEKE

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
169
Reaction score
26
[h=6]"KONGWA BEEF" ni nyama yenye hadhi ya ki-mataifa inayozalishwa na shirika la umma lililo chini ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi

1. Ni nyama inayoandaliwa na kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)
2. imeandaliwa na wataalam waliobobea na kwa technolojia rafiki wa kwa afya yako
3. Ni nyama tamu yenye ulaini wa kuvutia na ina mtawanyo mzuri wa mafuta
... 4. Ni nyama "organic" yenye utamu asili na yenye ladha maridhawa
5. "kongwa beef" ina virutubisho vya protini na madini Muhimu kwa afya yako
6. Inafaa kwa mapishi yoyote na inaiva kwa muda mfupi
''GUNDUA NGUVU YA KONGWA BEEF KWENYE MLO WAKO''

kwa wale wa Dar-es-salaam duka liko Nkrumah street clock tower tunapokea oda mbalimbali kama harusi, sendoff, res truant, hotel, nyumbani, ofisini, supermarket Nk tunakufikishia huduma pale ulipo huna haja ya kutembelea toa oda, aina ya nyama unayo taka unafikishiwa pale ulipo bila matatizo.tunasambaza nyama kwa mlaji mkubwa na mdogo, nchini na hata nje ya nchi
INBOX ME tumia namba hii utapata huduma 0714803729

"WOTE MNAKARIBISHWA"[/h]
 
Huwa napenda sana kutumia bidhaa za nchi yangu bse najua chain impact yake in one way or the other ata ndugu zangu watanufaika
Ngoja niwaambie wadau waisake uko bongo!
 
Kaka haujaelezea vizuri hiyo bidhaa, wazalendo wapo tunaihitaji sana tu. Tufafanulie tafadhali, mnazalisha nyama za aina ngapi,na bei zake, ilivyofungwa, uhifadhi wake mteja anaponunua, mahali zinapopatikana hasa kwetu mikoani, na picha kadhaa hapa. Tunashukuru Mkuu. btw, nitakutafuta nikiwa karibu na huko, napenda kuja kujifunza mambo kadhaa. Asante.
 
Tatizo la mashirika ya umma bana,siku zote kabucha ni kamoja hapo hapo Nkrumah ,kwanini msijitanue wekeni duka/bucha hata pale Mwenge au Mlimani city,huko Nkrumah toka naingia vidudu ni huko huko tu ,hamuoni mko kushoto kibiashara,fungueni angalau outlet mbili sehemu tofauti hapa jijini,pia weka bei kwa kilo au aina ya nyama,kama vile kilo moja nyama ya kusaga ni tsh ....,jembe tsh ....maini n.k
 
Kongwa bifu kazeni buti kwenye marketing. Inashangaza sana kuona bidhaa ya ukweli kabisa eti inauziwa kwenye kiduka hukooo Nkrumah. Kufika pale tabu tupu. Fanya kitu kimoja tu: kama kweli mna uwezo wa kusupply 6 times ya hapa mlipo, JUST PM me. I've got really good alternative strategies to send Tanzanian beef up high
 
"KONGWA BEEF" ni nyama yenye hadhi ya ki-mataifa inayozalishwa na shirika la umma lililo chini ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi

1. Ni nyama inayoandaliwa na kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)
2. imeandaliwa na wataalam waliobobea na kwa technolojia rafiki wa kwa afya yako
3. Ni nyama tamu yenye ulaini wa kuvutia na ina mtawanyo mzuri wa mafuta
... 4. Ni nyama "organic" yenye utamu asili na yenye ladha maridhawa
5. "kongwa beef" ina virutubisho vya protini na madini Muhimu kwa afya yako
6. Inafaa kwa mapishi yoyote na inaiva kwa muda mfupi
''GUNDUA NGUVU YA KONGWA BEEF KWENYE MLO WAKO''

kwa wale wa Dar-es-salaam duka liko Nkrumah street clock tower tunapokea oda mbalimbali kama harusi, sendoff, res truant, hotel, nyumbani, ofisini, supermarket Nk tunakufikishia huduma pale ulipo huna haja ya kutembelea toa oda, aina ya nyama unayo taka unafikishiwa pale ulipo bila matatizo.tunasambaza nyama kwa mlaji mkubwa na mdogo, nchini na hata nje ya nchi
INBOX ME tumia namba hii utapata huduma 0714803729

"WOTE MNAKARIBISHWA"

mnaweza pia mkapanua wigo wenu kwenye sehemu za utalii....beef inatumika sana maeneo hayo.....
kukushauri.....sehemu kama Arusha utapata soko mpaka utajuta kupafahamu.....
 
tuko tunakuja arusha soon coz tuna lunch yetu ya west kilimanjaro
 
Kongwa bifu kazeni buti kwenye marketing. Inashangaza sana kuona bidhaa ya ukweli kabisa eti inauziwa kwenye kiduka hukooo Nkrumah. Kufika pale tabu tupu. Fanya kitu kimoja tu: kama kweli mna uwezo wa kusupply 6 times ya hapa mlipo, JUST PM me. I've got really good alternative strategies to send Tanzanian beef up high

we have enough resource to facilitate the market demand kuna mambo tunamalizia
 
Tatizo la mashirika ya umma bana,siku zote kabucha ni kamoja hapo hapo Nkrumah ,kwanini msijitanue wekeni duka/bucha hata pale Mwenge au Mlimani city,huko Nkrumah toka naingia vidudu ni huko huko tu ,hamuoni mko kushoto kibiashara,fungueni angalau outlet mbili sehemu tofauti hapa jijini,pia weka bei kwa kilo au aina ya nyama,kama vile kilo moja nyama ya kusaga ni tsh ....,jembe tsh ....maini n.k
kuna outlet inakuja ya mwenge, tegeta we are so fast
 
Kongwa inabidi mjikite kibiashara zaidi muache kulala...maana kunawakati tulikua tunatoka safari tukaweka oda ya ng'ombe mzima ili tuipite jumapili mkajiumauma kumbe jumapili hamfanyibiashara mkaishia kutuambia mchinjaji hayupo kutuzuga kwani ranch nzima inamchinjaji mmoja tu ?.
 
Hayo maswali utayajibu mkuu, au ndy tulivyozoea watendaji wa umma huduma kwa wateja sifuri?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom