kongosho na zombie bana

Jamani nimempenda mwenyewe
CHeck alivyo hendisamu

Hapo alikuwa kanuna sababu jua linamuunguzia bride wake lol
 
Jamani nimempenda mwenyewe
CHeck alivyo hendisamu

Hapo alikuwa kanuna sababu jua linamuunguzia bride wake lol
sawa hatujakataa wala kubisha!
ila saaaaasa ndo ukaona umchagulie hilo shati na kaua ka shifoni juuu!??
NAULIZA TU!
 
snowhite ushawahi kupigwa ngumi za uso
Si unamuona Kongosho alivyopendeza sasa wewe huyo ubavu wake unaangalia fashion za nini bana
 
Last edited by a moderator:
snowhite ushawahi kupigwa ngumi za uso
Si unamuona Kongosho alivyopendeza sasa wewe huyo ubavu wake unaangalia fashion za nini bana

umeanza lini kunipikia jungu my dear!
liiiiini na leo ikawa ya pili!
nikinuna mimi nuno langu si kwa vogue wala murano linakuwa tabasamu!
 
Mmh jamani?! Mwanaume na kibwaya tena!
 
snowhite nimeguna kwa sauti
huyo aliyemshauri huyo jamaa kuvaa hilo sijui shati sijui kiblauzi dah alichemsha mbaya kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…