,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea