Kongole Khalifa wa The Chanzo

Huyu Mwamba
 
Huyu ndio ajibu hoja za Askofu Bagonza na Padre Kitima?

Ndugu zangu hawa jamaa wanafedhehesha sana dini yenu.
Ukiwa chawa hata elimu haiwezi saidia kitu kabisa, utaiweka kando na kuendekeza uchawa. Huyu jamaa inapaswa kuzabuliwa kofi hapohapo akiongea hayo. Yaani elimu yake kubwa ya dini ambayo ameipata kwa kusomaa vyuo vya kimataifa anakuja kuongea upuuzi huo.

Yaani angeongea hata kwenye kongamano kubwa la kiislamu. Hata chuoa angepigwa. Uislamu haujali una mamlak gani ukizingua unazinguliwa. Shida kayasemea huko kwe ye uchawa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…