Alipikwa aka pikika na jeneral twaha ulimwengu
Fyokoriko wewe mpongeze alie TAJWA sio akina balile na kamasi nyingineGentleman,
Vyombo vya habari na waandishi wa habari wengi Tanzania, wanafanya kazi zao kwa weledi mkubwa mno na kwakweli wote wanafaa kupongezwa kwa ukubwa na umuhimu wa kazi zao katika ujenzi wa Taifa.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu bariki vyombo vya habari na wanahabari wote nchini.
Huyu naye kawa kichefuchefu kisichovumilika
hata unae mtaja anafanya kazi kubwa na nzuri sana ya uandishi habari nchini gentleman 🐒Fyokoriko wewe mpongeze alie TAJWA sio akina balile na kamasi nyingine