Kongamano: Mikataba ya Rasilimali Madini

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,800
27,665
Published on 4 Jun 2017
Chama cha ACT Wazalendo kilifanya Kongamano kuhusu Rasilimali Madini ambalo lilifanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa DSM kujadili masuala yanayohusu madini likiwemo Mchanga wa Madini uliokuwa unasafirishwa nje ya nchi ambao sasa umezuiwa.

Wataalam mbalimbali wa masuala ya madini na wafanyakazi wa migodini walikuwa ni miongoni mwa walipata nafasi ya kuchangia hoja katika Kongamano hilo. Na Kesi ya wananchi Attorney General Vs. Maalim Kadau and 16 Others [1997] TLR 69 (CAT) DAR -The ... Tanzania cases for learners :


Source: Millard Ayo

1. Attorney General v.. Maalim Kadau and 16 Others [1997] TLR 69 (CAT) DAR

The Attorney General applied for an order that a decision of the High Court be revised in order to correct illegalities and improprieties contained therein. The proceedings arose out of the institution of proceedings by Kahama Mining Corporation Ltd (KMC) against the respondents who sought an injunction against an eviction order against the respondents. Whilst those proceedings were still pending the respondents applied for the Attorney – General to be joined as a co – defendant in that suit as they alleged that their defence raised basic constitutional rights issues. An order was granted and it was ordered that the matter be heard by the High composed of three judges.
- Prior to the Attorney – General being joined as a party to the original case, the respondents applied as a mater of urgency for a temporary injunction to restrain KMC from evicting them before the main suit was finally determined. The application was heard and determined the same afternoon and a temporary injunction was issued against KMC and the Attorney – General.

- It was contended on behalf of the respondents that as the Attorney – General had a right of appeal in the matter if was improper for his to bring the matter by way of revision. It was contended that even though he was not a party to the original proceedings, Rule 76 permitted any person to bring an appeal.

2. RIPOTI YA ''TEITI'':
Mpango wa Uhamasishaji Uwazi Katika Mapato ya Madini, Gesi Asilia na Mafuta - TEITI (Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative) https://eiti.org/sites/default/files/documents/teiti-annual-activity-report-2015_0.pdf

3. Tanzania joined EITI in February 2009

Tanzania joined EITI in February 2009 with an objective of promoting transparency and accountability in its natural resources. The process in Tanzania is lead by a Multi-Stakeholders Working Group (MSG) consisting of civil society organizations, government agencies and extractive companies.

In December 2012 EITI Board declared Tanzania compliant with EITI and standard. EITI compliant means that the country has an effective process for annual disclosure and reconciliation of all revenues from its extractive sector, helping citizens to see how much their country receives from oil, gas and mining companies. https://mem.go.tz/wp-content/uploads/2016/06/09.06.2016expression-of-interest-TEITI.pdf











 
Wataalamu Wanasemaje
Kuhusu Dhahabu, uchimbaji, makinikia, kuchakata makinikia, Umeme na
Uwazi wa ACACIA kutokana na masharti ya kuweka hisa zake katika soko la hisa maarufu duniani jijini London na mikakati ya serikali ktk sekta ya dhahabu


Source: Bin Seif
 
Hivi vijamaa vinapenda kweli cheap pop. Mara hii vimeshageuza mada kuwa fursa.
 
Hapo ndio wenzetu wanapotupiga unaletewa mtu kama huyo Dr Mshiu isipokuwa ananyongeza ya kushauri moja kwa moja kwenye kampuni jumlisha na shahada ya business law; what chances do yo u have against someone like that on the negotiation table.

Lakini hii nchi ya ajabu yaani kuna walimu UDSM kama huyu Dr Mshiu ukiwasikiliza unajiuliza lakini kwanini hawa sio makatibu wakuu wizadharani au wakurugenzi wenyewe.
 
Daaa bora hawa wanaongea Mambo yanayohusu utaifa kuliko siasa nyingi vitendo sifuli
 
Hapo ndio wenzetu wanapotupiga unaletewa mtu kama huyo Dr Mshiu isipokuwa ananyongeza ya kushauri moja kwa moja kwenye kampuni jumlisha na shahada ya business law; what chances do yo u have against someone like that on the negotiation table.

Lakini hii nchi ya ajabu yaani kuna walimu UDSM kama huyu Dr Mshiu ukiwasikiliza unajiuliza lakini kwanini hawa sio makatibu wakuu wizadharani au wakurugenzi wenyewe.
Si tumempeleka msukuma na kibajaji kwenye negotiation unategemea nini
 
Back
Top Bottom