Kongamano la katiba la vijana, Tarehe 06 Septemba siku ya Jumamosi

Huey freeman

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
593
247
Kesho jumamosi ktk ukumbi wa blue pearls ubungo plaza kuanzia saa 3 mpaka saa 8 mchana.

Wazungumzaji watakua.
Humphrey Polepole
John john Mnyika
Maria Sarungi
Paul Makonda

Mada: agenda za vijana ktk mchakato wa katiba.

Nitasikitika sana kama itv haitarusha hili kongamano kutokana na ule mkwara wa 6.
Nawasilisha.
 
Attachments

  • 1409905947762.jpg
    1409905947762.jpg
    62.7 KB · Views: 458
Vipi kile chama chenye kawaida ya kuandaa usafiri kesho usafiri wa UDA hautakuwepo?
 
UDA zitakuja na kwa taarifa zisizo rasmi wana recruit vijana wa kuzomea na kushangilia kwa malipo ya fedha zisizopungua7000.
 
vijana wa taifa hili kama mnyika na polepole ujuha hautawaisha huyu makonda anakwenda kufanya nini badala atunge katiba dodoma aache ujinga wake.
 
Kesho jumamosi ktk ukumbi wa blue pearls ubungo plaza kuanzia saa 3 mpaka saa 8 mchana.

Wazungumzaji watakua.
Humphrey Polepole
John john Mnyika
Maria Sarungi
Paul Makonda

Mada: agenda za vijana ktk mchakato wa katiba.

Nitasikitika sana kama itv haitarusha hili kongamano kutokana na ule mkwara wa 6.
Nawasilisha.

katiba inatungwa bungeni bana siyo ubungo.
 
Kesho jumamosi ktk ukumbi wa blue pearls ubungo plaza kuanzia saa 3 mpaka saa 8 mchana.

Wazungumzaji watakua.
Humphrey Polepole
John john Mnyika
Maria Sarungi
Paul Makonda

Mada: agenda za vijana ktk mchakato wa katiba.

Nitasikitika sana kama itv haitarusha hili kongamano kutokana na ule mkwara wa 6.
Nawasilisha.

Nitasikitika sana kama mwenyekiti wa Kongamano si mtu makini.
Nashauri mwenyekiti wa Kongamano achaguliwe siku hiyo na Washiriki. Kinyume na hapo hakuna tofauti na Uenyekiti wa Samwel Sita pale mgengoni-BMK,na itakuwa kuwapotezea washiriki muda wao.

CC. Humphrey Polepole John Mnyika
 
Last edited by a moderator:
Vipi vijana wa zomeazomea hawatakuwepo? Je kikundi cha kushangilia bado hakijaandaliwa bado?
 
Paul Makonda hana adabu na laana I juu yake kwa tabia yake ya kutukana wazee

Njaa mbaya ndugu yangu.. we mtu alikuwa kachoka vile enzi za kile chama chao. leo na yeye yuko bungeni unategekea nini?
 
Hivi Mnyika na Polepole wanaweza kukubali kukaa meza moja na kubadilishana mawazo na mpuuzi kama Makonda???

Malengo ya kongamano sina shaka nayo, ila kualikwa kwa mtu huyu Kwakweli ni tatizo kwasababu hana analolijua ndani ya kichwa chake eti, Simiyu Yetu nadanganya???

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom