kamua mwanangu... kamua mpaka kieleweke, wao wanaweka TOT plus na masanja CHADEMA wanaweka hotuba za Martin Luther King and then wanadhani wako level moja
wafundisheni hao CCM kwamba quality and standards are never compromised
Nimefurahi sana aisee, I wish ningekua ukumbini
Nimefarijika kuona na akina dada hapo, naona woga wa mageuzi umeanza kuwatoka, Big Up Srs.
Nimemjibu mchangiaji aliyeomba kujua Wabunge waliopo.Hata hivyo sifungwi wala sikatazi kuorodhesha Wabunge waliopo,kwani dhambi?Tunafanya Kazi kwa Uwazi wala hakuna sababu ya kuficha.Hata hawa wanfaunzi waliohudhuria ningeweza kuwaorodhesha ningefanya hivyo.
Kuna Mbunge mwingine ameongezeka anaitwa Conjesta Rwamlaza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera.
Wapo pia Viongozi wa Chama wa Wilaya na Mkoa wa Dodoma.
Unajingine babito/mamito?
Kwa nini umeweka list ya wabunge waliohudhuria?
Msisitizo uwekwe kwa vijana waliohudhuria wajitahidi kuwazindua na kuwaelimisha wenzao ambao hawakuhudhuria juu ya umuhimu na nafasi yao ktk ukombozi wa mtanzania...bravo UDOM...kura za hapo tu zinatosha kuwatia kiwewe mafisadi
Una lako jambo si bureAsante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.
Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.
Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Kabla Regia hajawataja tungeomba wewe ujitambulisha kwanza kuwa ni nani kwa kuweka jina lako halisi na picha yako hapo ndio itakuwa haki kwa dada Regia kukujibu hili swali lako la sivyo nakuomba sana Regia usijibu hili swali na nakuomba sana Regia usijibu kila hoja ya mtu inayobandikwa hapa please!Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.
Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.
Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.
Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.
Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Yaani kweli unataka Regia awataje wabunge wote amabao hawakuhudhuria na sababu zao? dah kweli duniani kuna watu
Yaani kweli unataka Regia awataje wabunge wote amabao hawakuhudhuria na sababu zao? dah kweli duniani kuna watu
Dada Regina achana na huyu mtu....atakupotezea mda bure. Huyu ni ccm damu na hapa jamvini anajulikana karibu na watu wote. shit....Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.
Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.
Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Inanisikitisha kuona watu wanazungumzia Zitto, Zitto kila mara badala ya kuzungumzia hoja ya ukombozi na uhamasishaji ambayo ndiyo mada ya uzi huu. Chadema ni chama cha watu wengi na wenye uelewa mkubwa hakitegemei mtu mmoja.Hivyo uwepo au kutokuwepo kwa Zitto si muhimu hata kidogo kwani wale ambao wamefika wana uwezo mkubwa sana kufikisha ujumbe. Ni muhimu kuepukana na hoja za unafsi na tuwe na hoja za utaasisi au utaifa ili kuwa na maendeleo endelevu kama sio dumivu.Jamani msije ugua ugonjwa wa ZITTOPHOBIASIS. Mbona Slaa hayupo? kuweni wavumilivu, labda tusimuone tar 16 kiwanja atakachopangiwa.
Mwenyekiti wa taifa, kongamano la area D. Kweli watanzania wana akili sana.
Mwenyekiti wa taifa, kongamano la area D. Kweli watanzania wana akili sana.
Aroo! Tuko pamoja kweli? Lol.Aaaa dada Regia....unanipandisha stimu mwenzio!....utanifanya nipande ndege sasahivi ili nije
Chadema ina wabunge 43 tu, kama ameweza kulist waliokuwepo, iwaje ashindwe wasio kuwepo.
Labda hamjui cheo chake ndani ya CHADEMA, au mnataka CHADEMA iwe kama CCM, kila kitu siri, siri ya nini kama chama ni cha watu na watu ndio sisi?