Kondoo na radi

Yale yale, ya 'ukitembea (bila kuwa mwangalifu)na kujikwaa basi kuna watu mahala fulani wanakusema!!! Utafikiri wale wasiojikwaa hawasemwi!!! kwikwi!!
 
Radi ni static electricity tu inayotokana na reaction za mawingu na kutengeneza charges tofauti charges hizo zikijikusanya zinavutana na za Earth ground na kusababisha flowing of charges from the sky to the ground ..Umeme huu unakawaida ya kutoa muungurumo Thunder na Mwanga lightning vyote hivi huwa soundable n visible kwa mnyama kama kondoo mwenye asili ya ubabe akisikia na kuona mwanga basi hureact na kutaka kuonyesha ungangari ni ngumu kwa kweli kufaulu katika vita hio mana apo huo umeme unaokuwa generated ni extra voltage that y unaona mti unachanwa kama karatasi..
Radi haina uhusiano na uchawi ni swala la sayansi tu
 
Scientifically tu ili uwe avoided na Radi epuka kutembea sehemu ya wazi wakati radi inapiga mana mwili wako ni kipitisho cha umeme kama utakuwa sehemu ya wazi radi iki strike ikakutana na body yako basi umeme uta pita ktk mwili wako na kukugeuza mkaa lakini pia wale wenye majengo marefu basi lightning arrestors zinahitajika pia Zima umeme kama huna devices ya kulinda loads zako na Radi...Mambo ya nguo nyekundu sijui nani kakutumia radi tuyaache kabisa
 
Damn .... limepigaaa
 
Du! Mimi nimechunga sana kondoo huko kijijini kwetu Mchambawima lakini sijawahi kushuhudia kitu hii. Mnaofahamu hii kitu naomba mtufahamishe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…