Kondoo azua kizaazaa Afrika Kusini kwa kuzaa mtoto kama binadamu! - picha.

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,520
2,000
upload_2017-6-23_11-44-2.png

Imetokea Afrika Kusini katika mji wa Lady Frere kondoo kuzaa mtoto kama binadamu na kuzua tafaruki miongoni mwa jamii. Hata hivyo, wataalamu wa mifugo wamekanusha kwamba huyo kondoo sio nusu kondoo nusu mtu bali kondoo aliyekabiliwa na ulemavu wakati wa mimba na kusababisha afanane na binadamu.

Watalamu hao, waliothibitisha kwamba hili tukio ni kweli limetokea, wamesema watafanya utafiti zaidi kwa kiumbe hicho na matokeo yake kutolewa kwa jumuiya.

Source: African News Agency
'Deformed lamb is not half-human' | IOL
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,689
2,000
Itakuwa labda kuna "mshenzi" alimuingilia kondoo huyo kimapenzi!!!


Could we mate with other animals today?
By Torie Bosch

Probably not. Ethical considerations preclude definitive research on the subject, but it's safe to say that human DNA has become so different from that of other animals that interbreeding would likely be impossible. Groups of organisms tend to drift apart genetically when they get separated by geographical barriers—one might leave to find new food sources, or an earthquake could force them apart. When the two groups come back into contact with each other many, many years later, they may each have evolved to the point where they can no longer mate.


In general, two types of changes prevent animals from interbreeding. The first includes all those factors—called "pre-zygotic reproductive isolating mechanisms"—that would make fertilization impossible. After so many generations apart, a pair of animals might look so different from one another that they're not inclined to have sex. (If we're not even trying to mate with monkeys, we'll never have half-human, half-monkey babies. *) If the animals do try to get it on despite changed appearances, incompatible genitalia or sperm motility could pose another problem: A human spermatozoon may not be equipped to navigate the reproductive tract of a chimpanzee, for example.

The second type of barrier includes "post-zygotic reproductive isolating mechanisms," or those factors that would make it impossible for a hybrid animal fetus to grow into a reproductive adult. If a human were indeed inclined and able to impregnate a monkey, post-zygotic mechanisms might result in a miscarriage or sterile offspring. The further apart two animals are in genetic terms, the less likely they are to produce viable offspring. At this point, humans seem to have been separate from other animals for far too long to interbreed. We diverged from our closest extant relative, the chimpanzee, as many as 7 million years ago. (For comparison, our apparent tryst with the Neanderthals occurred less than 700,000 years after we split off from them.)

Researchers haven't pinned down exactly which mechanisms prevent interbreeding under most circumstances. Some closely related species can mate even if they have different numbers of chromosomes. Przewalski's horse, for example, has 33 pairs of chromosomes instead of the 32 most horses have, but it can interbreed with regular equines anyway—the offspring takes the average and ends up with 65 chromosomes.

Neanderthals weren't our ancestors' only dalliance with other primates. "Pre-humans" and "pre-chimpanzees" interbred and gave birth to hybrids millions of years ago. In the 1920s, Soviet dictator Joseph Stalin sent an animal-breeding expert to Africa in hopes of creating an army of half-man, half-monkey soldiers. Attempts both to inseminate women with monkey sperm and impregnate female chimpanzees with human sperm failed.

That doesn't mean that tales of humans interbreeding with other animals haven't endured. Rumored animal-human crosses from the past few hundred years have included a man-pig, a monkey-girl, and a porcupine man.
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,520
2,000
Sasa hapa kafafana na wewe mtoa mada au.. maana sioni cha kufanana na binadam
Ahsante kwa kunitukana. Lakini kumbuka mie nimetoa taarifa iliyopo, sio mada. Labda ni vema ukajifunze tofauti kati ya kutoa mada na taarifa iliyopo.

Na actually nilikujibu kuonyesha ujinga wa comment yako, lakini kuna moderator mwenye akili kama zako ambaye aliona nilichokujibu ni tusi zaidi ya hiki ulichoandika hapa, na hivyo akaona ile post niliyokujibu ilistahili kuondolewa bali yako ibaki.

Na moderators mnao ona ujinga ni tusi mnapaswa kwenda shule pia.
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,108
2,000
Could we mate with other animals today?
By Torie Bosch

Probably not. Ethical considerations preclude definitive research on the subject, but it's safe to say that human DNA has become so different from that of other animals that interbreeding

That doesn't mean that tales of humans interbreeding with other animals haven't endured. Rumored animal-human crosses from the past few hundred years have included a man-pig, a monkey-girl, and a porcupine man.
Haya tena wana anza tena ngojera zao zenye horror stories za kuwasingizia Warusi - linapo kuja suala la biolojia hasa linalo husu fertilization, forming zygote and mollula nk no one knows by 100% kunaweza kutokea nini sperm na ovum ya different mammals zikukutana, uwezekano wa sperm ya binadamu ku-fertilize yai la kondoo by accident hupo kabisa inategemea sperm ina matatizo gani ya ki-genetic kama ina tatizo inaweza ku-simulate/kufanana kwa mbali na sperm ya kondoo halafu fertilization ika-take place regardless - hisipokuwa kadiri cells zinavyo jigawanya gawanya na baadae mimba kuanza kukua kuna inbulit mechanism ambazo zinaweza ku-sense kwamba kuna vitu ambavyo si compatible kwenye foetus hivyo ikalazimu mwili ku-trigger mechanism ya ku-abort!!

Kambuka hapa tunazungumzia mammals ambao ni warm blooded si reptiles au samaki - uwekano wa haya kutokea hupo sana we sema develepment ya mimba won't go far lazima itakuwa aborted, haya mambo sijui ya chromosomes ngapi sijui nini binafsi siyawekei maanani sana ni kutumia logic tu kama una uelewa wa kiasi katika nyanja Bailojia ya uzazi na genes.
 

al1983

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
310
500
Usikute kuna njemba ilidinya hiyo kitu!! Maana siku hizi watu mishipa ya aibu ilishang'oka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom