The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Kitu kingine nilichojifunza kwenye hii hadithi/kisa ni kwamba, usihitimishe jambo haraka haraka hata kama ushahidi wa kimazingira unaonyesha kabisa kwamba kuna kitu kimetokea hadi hapo utakapoona na kuthibiitisha mwenyewe.
Yule mwanamke kwa vile tu kondomu zinapungua akawa anafikiri mumewe anazitumia kwa umalaya!
Yule mwanamke kwa vile tu kondomu zinapungua akawa anafikiri mumewe anazitumia kwa umalaya!