Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,436
Mjinga huwa akipewa hoja huwa anajibu kama unavyojibu wewe bila kufikiri madhara yake! Waziri wa Afya alishawahi kukana hili hata mimi nishawahi kulifanyia kazi hili sakata (nami sijui utaniita mzinzi) lakini ni kweli Condoms hakuna zimeadimika
Watumiaji wa condom ni wachache sana, na isitoshe wanawake hawazipendi kabisa zinawakata stimu.Nimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
Unaishi wapi ndugu mpaka dawa ya mapenzi isiwepo? mbona watu wanaendelea kutoa huduma na zana zinapatikana kwa wingi tu? au unazungumzia aina ya CondomNimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
Nadhani alimaanisha hivi sema kashindwa kuweka vzr habari yake! Condom zipo tu watu wanapiga mechi bila shidaCheap condoms ndio adimu ..zimebaki branded condoms ambazo affordability kwa vijana wangi ni tatizo..Nadhani ni process ndefu ya kuziingiza nchini ndio tatizo
Ungeenda mwenyewe mkuu! 😛Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Hivi kwa ukata huu bado una hamu ya kufanya hayo mambo ndugu? Baki njia kuu..michepuko ndo mnasababisha jua liwake hivi. Wale wahisani wamesusa kuwaletea.,mzaane tuNimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
Nimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
Uko sawa ila kwenye ARV kukatwa hakuna kitu kama hicho!US AID imeacha kuhudumia Tanzania kwenye eneo hilo kutokana na hujuma za wazi za uzazi wa Mpango zinazofanywa na Serikali ( fyatueni elimu ni bure ) , ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu , ukatiri na uminywaji wa demokrasia ni sababu nyingine zilizochangia wazungu kujitoa , kuna taarifa kwamba kinachofuatia ni ARVS
Uko sawa ila kwenye ARV kukatwa hakuna kitu kama hicho!

Inawezekana tuu... Sema jiwe kaacha kujitoa ufahamuu...!!Mkuu umeongea point sana.. Yani ndomu zimehadimika balaa.. Zimebaki za buku 2 kuendeleee... Vijana wengi hawawezi kuzimuduuUS AID imeacha kuhudumia Tanzania kwenye eneo hilo kutokana na hujuma za wazi za uzazi wa Mpango zinazofanywa na Serikali ( fyatueni elimu ni bure ) , ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu , ukatiri na uminywaji wa demokrasia ni sababu nyingine zilizochangia wazungu kujitoa , kuna taarifa kwamba kinachofuatia ni ARVS

Hali sio nzuri kabisaa.....mm ninazo tunaweza kuokoanaNimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.