Kondom za kike zageuzwa bangili kibaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kondom za kike zageuzwa bangili kibaha

Discussion in 'JF Doctor' started by Kertel, May 18, 2012.

 1. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,431
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  Kuna upungufu wa kondom za kike madukani kibaha sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi sahihi ya kondom hizo bali kwa sababu ya urembo.Nb :raba yake ya juu hutoa reflections za rangi tofautitofauti inapopigwa na mwanga wa jua.source Bbc
   
 2. K'T

  K'T Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu urembo sasa unaelekea pabaya
   
 3. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,197
  Trophy Points: 280
  Tafadhali km inawezekana tupe picha ya mkono wa mama uliojiremba kwa 'kondom'
   
 4. a

  asumpta Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo nayo kali
   
Loading...