Konda -KANUMBA

nampongeza konda hongera zako nyingi!
 
Kuna rafiki yangu kaniambia mumewe kampiga marufuku kuongelea jina la Kanumba nyumbani kwake na TV IKIONYESHA mambo ya KANUMBA inazimwa . huu utakuwa wivu wa wanaume kwa the great!

Haya sasa_mmezidi kumsifia kanumba mpaka inakera.
 
Kuna rafiki yangu kaniambia mumewe kampiga marufuku kuongelea jina la Kanumba nyumbani kwake na TV IKIONYESHA mambo ya KANUMBA inazimwa . huu utakuwa wivu wa wanaume kwa the great!

Utaipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…