Kona ya ubuyu wa siasa

Kona ya ubuyu wa siasa

Agresive

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
891
Reaction score
1,237
Natumaini mko salama wakuu.

Ubuyu si neno jipya kwa,sasa ni neno linalotumika kugusia au,kudokeza suala ambalo linazunguzwa na watu lakini linaweza lisiwe proved publically au kutangazwa.


Ubuyu wakati mwingi huzungumzia maneno yaliyo mtaani kuhusu,,mtu,watu, au,serikali.

Sifa ya ubuyu au minongonongo mara nyingi asilimia kubwa huwa ni kweli maana hizi,huwa ni habri za wazee wa kijiweni kwenye kahawa, lakini wasemalo huwa lipo au laja.

Sasa kuna ubuyu kadha wa kadhaa nasikia kwa wazee wa chai kuhusu upepo wa siasa saivi nchini.

Mie nimepata ubuyu kadhaa na wewe kama unao utaongezea.

Mie siyo shabiki wala mdau wa siasa ila napongeza na kukosoa yoyote anayefanya vzr.

Twende pamoja, ubuyu No.

1. KAMATI KUCHUNGUZA B.O.T

Kila mmoja anakumbuka kuwa Maza aliunda kamati kuchunguza BOT lakini mpaka leo ni kimya.

Inasemekana ule mtonyo master mind alikuwa Kalimanzira ambaye alikuwa waziri wa fedha kipindi kile, akishirikiana na Mpwa wa mwendazake aliyekuwa katiba wa wizara Nahis ni J.Dotto,

Utafiti umegonga Besela maana wahusika ndiyo wako na maza na wamepanda cheo,,inaweza hii ripoti isitoke, Tuendelee kutafuna ubuyu tukisubiri matokeo.


2. ALIPOZIKWA JIWE C...H...A....T...O.

Wazee wachai wanasema pale alipozikwa jiwe ni kwa baba yake siyo home kwake walipokuwa wanafikia marais.

Yaani jiwe yeye makazi yake haikuwa pale inasemekana ni mlimani , Yaani eneo hilo amejenga nyumba 4 za ukweli kama Casino ambazo zimo full kila kitu na maraisi wakifika walikuwa wanafikia hapo kila nyumba ilikuwa na wahudumu full raha sehemu ya kumlaza Rais wa nchi nyingine si jambo dogo, mzee alitumaliza.

3. UTEUZI WA MABALOZI.

Inasemekana kwa sasa mambo mengi maza anaomba support kwa mzee wa MSOGA yaani saiv nchi ni kama mzee baba ndiyo anaiongoza kwa Remote. Maza ni kama bado ana wenge la cheo hicho hivyo hana budi kumchek mzee amsaidie, Kwa kuwa ni ubuyu ngoja tuendelee kuchek movie yote.

Hata kipindi cha uchaguzi wa maza kuwa mwenyekiti nasikia watu walianza kutaka kudoble cross maza lakini mzee akaingilia kati mambo yakawa shwari.

4. MIFUMO YA SERIKALI.

Kuna wimbi kubwa na watu wanajaribu kupima kina cha maji kwa maza na kuona upepo wake,,coz waliwekwa na Jiwe so hawana uhakika na upepo wa maza,,hivo wameanza kutikisa kibiriti na kujihami kwa kula mpunga unaowasogelea hata wakipumzishwa wawe na pakuanzia.

Mfano.
a) Suala la maroli bandarini.
b) Tanesco luku.
c) Maofisi kila dk hakuna ntwk
Mambo haya sikuwa zamani hayakuwepo yalikuwepo ila tu hayakutangazwa.

5. USHINDI WA CCM 2020.

Kada mmoja mjumbe wa kamati ya ccm aliyepewa cheti baada ya uchaguzi kwa kupongezwa kwa figisu.

Aliniambia wana mbinu 100 za ushindi na kubakia madarakani na mbinu iliyotumika mwaka jana na kuondoa upinzani ni mbinu namba 4B akamanisha mbinu 96 bado hazijaguswa na hiyo namba 4 ilikuwa 4B hata 4A hawajagusa.

Anadai sera yao ni kuwa afe kipa, afe beki na hata kula kichwa cha mtu wako tyr endapo tu wataona unawakwamisha.

Kwa,hiyo bado tuna sfr ndefu wakuu.

Kwa leo nimeishia hapo lakini kama na wewe una ubuyu karibu tuendelee kutafuna maana nchi inakwenda kasi sana.
 
Tatizo ubuyu unaotafuna mchungu sijui 🙂 Bi Mkubwa kaivuruga nchi si masihara. Kaulimbiu ingekuwa ^Kazi Inaendelea^ kidogo angeweza kueleweka japo kwa masponsa wake. But ^Kazi Iendelee^ is a sort of whooping and wooing mysterious command whose achievement is clearly uncertain.
 
Mimi niko na ukwaju.

Inasemekana yule pepo wa kule wilayani Hai anatafuta chocho ya kutorokea Nairobi.
Yule hapaswi kutoroka waongezee ulinzi apigwe mawe mpaka kufa ili hasira za watu ziishe kabisa.

Maana Jiwe anaweza kukufuka akakusanya,watu wake nafuu tu wanyekelewe mbali.
 
Asipokuwa,makini na Watz atavuna mabuwa maana wameanza kupima kina cha maji.
Tatizo ubuyu unaotafuna mchungu sijui 🙂 Bi Mkubwa kaivuruga nchi si masihara. Kaulimbiu ingekuwa ^Kazi Inaendelea^ kidogo angeweza kueleweka. But ^Kazi Iendelee^ is a sort whooping and wooing mysterious command whose achievement is clearly uncertain.
 
Baada ya Jiwe kufariki mbona kama spika anaonekana mwenye furaha zaidi na zaidi kuna nini nyuma ya furaha yake.
 
Baada ya Jiwe kufariki mbona kama spika anaonekana mwenye furaha zaidi na zaidi kuna nini nyuma ya furaha yake.

Hatimaye, amefunguliwa toka kuzimu. Sasa anaiishi kweli nayo imemuweka huru. Ni mateso sana kuishi kwa kusimamia uongo
 
Vipi wale Covid -19 inasemekana lila anachopata Mwisho wa Mwezi kuna Mtu anakatiwa Mzigo kwa KUWALINDA kuwepo mjengoni
 
Ubuyu bwana wa Babu Issa wa Zanzibar. Huu mwingine wa kwenu hauna radha mdomoni.
 
Back
Top Bottom