Mbunge wa Moshi Vijijini ambaye Tangu achaguliwe amekuwa hapa jimboni kuhakikkisha kuwa kila shule jimboni kwake inaachana na aibu ya kukosa choo kwa matumizi ya wanafunzi, sasa ataelekeza nguvu zake zote kuhakikisha kuwa anamaliza tatizo la maji jimboni kwake
Baada ya kuzuru vyanzo vyote vya maji jimboni akiwa na wataalamu wa maji, sasa atatumia mkopo wote wa gari kununua mitambo ya kuchumba visima vya maji, na kufanya survey .
kwa kuzingatia kuwa 80% ya maji yanapatika chini ya ardhi na kwa kuzingatia kuwa maji yanayopatikana kwenye uso wa ardhi ni asilimia 20% pekee, anategemea kujikita zaidi kwenye chanzo hiki cha maji na cha uhakika.
kwa mujibu wa maelezo ya mbunge sehemu nyingi za jimbo hilo zinazopakana na tambrare na kata mbili za mabogini na TPC zina matatizo makubwa ya maji,