Komoa nikukomoe

Sasa hapo nani anamkomoa kuliko kujikomoa mwenyewe,kupigwa mtungo ni kukomoa au kujikomoa
 
Anaandaa historia ....unafikiri atasimulia nini akifika uzeeni?
 
Sasa hapo nani anamkomoa kuliko kujikomoa mwenyewe,kupigwa mtungo ni kukomoa au kujikomoa

hiyo lugha ya picha wewe unacheat na mmoja yeye anamia nyuma yako
 
hahahahha hataree naona mama ana team ya mpira washangiliaji, watazamaji,kocha, refa wote anao lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…