M muhi Member Joined Nov 12, 2014 Posts 51 Reaction score 19 Jul 7, 2015 #1 chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza, chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo. watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo. chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu. watu.:njia ipi? chizi: vaa nguo zote!!!!!!!
chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza, chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo. watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo. chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu. watu.:njia ipi? chizi: vaa nguo zote!!!!!!!