komeni hii tabia

Asprin ni kibuzi tu pamanenti, nilimtenga baada ya huzband kurudi naona anaya alifukuzwa na nyumba ndogo zaka akaamua kurudi home.

Ningemkataa?

Kwa hiyo we na yeye mko kwenye bebi kam bak?
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhh una ubavu huo wa kupata maono.....hebu tuondelee hadithi zako

Wewe dawa yako nikuwekee maombi maalum,nisali na kufunga ili pepo la jf likutoke,lol! Kutwa uko jf mpaka sa tisa alfajiri!
 
Wewe dawa yako nikuwekee maombi maalum,nisali na kufunga ili pepo la jf likutoke,lol! Kutwa uko jf mpaka sa tisa alfajiri!

Hahahaaaa kwa hapa nakubali,tena nimekua mpoleeeee
 
baby comme back kwa mmeo?

Sio kuwa ni haki yake kupata haki yake?

Wala hatukuwa na baby kam bak, tuliendelea kama hatujawahi chitiana.

Kwa hiyo we na yeye mko kwenye bebi kam bak?
 
Bishanga wakati wenzio tunabembeleza na kubembelezwa tulale we unafikiria chakutungia uzi?!Siutafute mpenzi na wewe uwe unapumzika kidogo?!
 

mmmmmmh.......wajameni huu ni utani au??
We Bishanga wewe......
 
Last edited by a moderator:
Bishanga wakati wenzio tunabembeleza na kubembelezwa tulale we unafikiria chakutungia uzi?!Siutafute mpenzi na wewe uwe unapumzika kidogo?!
una mme una bwana?
 
Bishanga wakati wenzio tunabembeleza na kubembelezwa tulale we unafikiria chakutungia uzi?!Siutafute mpenzi na wewe uwe unapumzika kidogo?!

Yaani hilo Bishanga kalipata live bila chenga!!! lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…