Kombe likifanywa hivi litanoga zaid

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Shukrani kwa TFF kwa kuratibu mashindano ya Taifa kapu, kama itatokea mwakani kombe likawa halijumuishi mchezaji yeyote wa ligi kuu, litanoga!
Mfungaji bora hatategemea uzoefu wake wa ligi kuu kama mwaikimba jana wala bingwa hatategemea ubora wa wachezaji wa ligi kuu aliowatumia.
Kwa kufanya hivyo tutaibua vipaji na kuzuia masking iliyofanywa na akina Jerry na Mwaikimba mashindano ya mwaka huu.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom