Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
mechi na azam barthez tutamsimamisha kama winga,hii timu hatari sana
'KUWAFURUMUSHA'Zamani mlikuwa mnaliita Bonge la kombe, leo kwa kuwa tumewafuata kuwafurusha mnaita bonanza.
Tunawafuata huko huko kudadadeki
Mambumbumbu hao waambie watangoja sana'KUWAFURUMUSHA'
nasikia wanatamani Yanga SC wajitoe!lol