Duh! kazi kweli kweli! ukiona cha nini wenzio wakitolea matetoka world cup ianze nimeshapewa vitumbua na wake za watu kama wawili hivi....
kwa sababu waume zao wamewa neglect.....
long live wolrld cup.........
HEHEHE!
tayari umekwisha anza!
Hivi jana Braziv Vs Korea ilikuwa ngapi ngapi?
Mate tukutane leo saa 6 kamili usiku pale zero pub kwa ajili ya tathmini ya match kati ya Sauz na Uruguay. (Na hii ifowadi kwa waifu kama kinga ya kuchelewa kurudi leo:hail
Sitaki kuzungumzia INFIDELITY hapa Mrs. Hakajambo katarajiwa, au bado?
...HIli nalo Neno!!Wote mliotoa comments mnavyojidai mwezi mmoja sio mrefu sana anagalieni isije mkatoka ngoma droo kazi kwenu.
Teamo kumbe ndoa ni ngumu hivyo mpaka uombe world cup iendelee kwa mwaka.... i feel for u broda....
Hahahahaha! Mate hebu kakague nimekuzawadia nini kwenye hii yuziful posti......Duh Ziro PUB - kuna ulinzi pale kweli? nasikia wazee wa kazi wanakusanya hadi simu duh bora tuende tu pale pale tu kwa zamani pale "nyamachabezi" mate.
ha ha ha, ka shemeji kako kakali kama nyuki - kanacheza central defence si mchezo - lakini hakajui kuwa hata akina Lucio huwa wanapitagwa.... unastukia nyavu....
mi nazisikia kwa washkaji tu!!Fidel ahhh mie nipo sipo bana...
mechi naziangalia kwenye gazeti... :embarrassed:
Washkaji zako wa kaunta au?mi nazisikia kwa washkaji tu!!
UPHOLDING(M.SC.I.C.T.U) nilikuwa na A+ tu mwaka wa kwanza mpaka wa sita
Umejuaje?? sasa mimi nikiwa kaunta naona bar maid tu na bia mabia/makonyagiWashkaji zako wa kaunta au?
Haleluya! Wanawake wote semeni AMEEEEEN!Na kwa sasa upo kwenye write-up ya papers za PhD.
Hypothesis: People who don't drink and have tendencies of staying out late at night are the ones on the top list of MEN WITH NYUMBA NDOGOZ.
Hakuna raha kama kusimuliwa matokeo ya Mpira huku glasi ya nyagi/bia/valuu iko mkononi. Inapendeza kuliko kuwa uwanjani au kuangalia kwenye luninga....Umejuaje?? sasa mimi nikiwa kaunta naona bar maid tu na bia mabia/makonyagi
Hakuna raha kama kusimuliwa matokeo ya Mpira huku glasi ya nyagi/bia/valuu iko mkononi. Inapendeza kuliko kuwa uwanjani au kuangalia kwenye luninga....
Big Skrini ni relative term....:hail::confused2:...Kumbe zile bigi skrini tulizokuwa tunaambia hapa sio zenyewe...:sad:
Hakuna raha kama kusimuliwa matokeo ya Mpira huku glasi ya nyagi/bia/valuu iko mkononi. Inapendeza kuliko kuwa uwanjani au kuangalia kwenye luninga....