KOMBE LA DUNIA NA kuchelewa kurudi nyumbani

hahahahaha!mkuu ******* safari hii atahamia kabisa KIMARA-BARUTI.....!kwa mamaa la j-o-y

Khaaa...:shock: ...we si ulivunjika moyo huko juzi tu?? au umefunga na Supa Gluu...:smiling:
 
natamani kama world-cup ingechezeshwa hata mwaka mzima.....
haka ndo ka-mwezi pekee kakuchelewa kurusi nyumbani kwa kizingizio cha NILIKUWA KWENYE BIG SCREEN

HEEEEY MY BRAAAAAA UTIIIINIIIIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEENAAAAA!
legreeeeend maan shap shaaaaaaap!

Ndugu yenu nimeshapewa ruhusa ya kuchelewa kurudi,sijui watu wangu x-pin,next level,maskini jeuri,fidel,roya roy,kaizer,KIMEY,edson,D5,BAK,na wengineo

WITO MAALUMU:firstlady1,carmel,mwanajamiione,nyamayao,askofu,bht,js,charity et al naomba MUWAPE RUHUSA WAWEKEZAJI WAUNGANE NA WAWEKEZAJI WENZAO KWENYE MA-BIG SCREEN kwa ajili ya kushangiliaa WOOOOOZAAAA WOOOZAAAAA!hakuna mkakati wa kudumisha desturi NI MAMBO YA WELDI-CUP TU!

tunaanza leo sasa:SOUTH AFRICA VS MEXICO,then saa mbili hivi ni FRANCE VS URUGUAY

So u meant it??...:mad:
 
Teamo flight ilikuwa ya saa ngapi maana baada ya saa nne sikukuona tena sore ofu topiki!!!
hehehe!nilikamata vile vindege vya kuwindia vikanidrop samuwea porini sana nikakamata lori hadi dar
 
Je, kama mama naye ni mpenzi wa soka si mnaenda kuangalia wote pamoja na wadau? Ah! nikiwa na mama pale noma njemba nyingine zinaweza kuanza kumpigia mahesabu...LOL!
 
Je, kama mama naye ni mpenzi wa soka si mnaenda kuangalia wote pamoja na wadau? Ah! nikiwa na mama pale noma njemba nyingine zinaweza kuanza kumpigia mahesabu...LOL!
hehehehe!umeona EEEH!kuna jamaa angu mmoja amegoma kulipia dstv mwezi wa sita na wasaba ili awe na kisingizio tosha cha WELDI KAPU NA BIG SCREED
 
hehehehe!umeona EEEH!kuna jamaa angu mmoja amegoma kulipia dstv mwezi wa sita na wasaba ili awe na kisingizio tosha cha WELDI KAPU NA BIG SCREED

Mhhh! huo sasa ni ukatili si umuache naye ajirushe nyumbani hata kama hutaki kwenda naye kwa wadau?
 
Mhhh! huo sasa ni ukatili si umuache naye ajirushe nyumbani hata kama hutaki kwenda naye kwa wadau?
tatizo ukilipia atajenga hoja za wewe KUANGALIZIA NYUMBANI!unajua madhara yake????mtaishia kucheza mechi yenu tu kitandani!unaweza mpa mtu mimba wakati ananyonyesha kisa WELDI KAPU
 
Angalia sana mkulu.. Unaweza pata ruhusa, na yeye akajiruhusu mwenyewe.. Maana anayo ratiba yote!

mi mwenyewe ntaenda huko kwenye big screen!!! so he has to choose tuende wote au we go separate ways!!!
 
duh poleni, mie Mr hata hajui la kheri wal la shari kuhusu world cup..... mwezi huu ndio war
tu watagombana kweli!! Bht hapo utamuweza kabisa...kila mtu akaone mechi big screen mtakutana baadaye...na si unajua kuna after match analysis so kurudi ni kama 2 hrs after the game? sipo mie!!
 
Mliochangia mna mambo nyie! sasa kwa nini msingetafuta ticket mkaenda SA ndio kuna vimwana wa kufa mtu...
 
duh poleni, mie Mr hata hajui la kheri wal la shari kuhusu world cup..... mwezi huu ndio war
tu watagombana kweli!! Bht hapo utamuweza kabisa...kila mtu akaone mechi big screen mtakutana baadaye...na si unajua kuna after match analysis so kurudi ni kama 2 hrs after the game? sipo mie!!

eeeh mwaya.......mi najiendea kwa raha zangu, hiyo analysis lazima afanye basi home sijui saa ngapi!!!

Shishi wako hapendi futibal? au ndo vile tu pingu bado brad nu so manatazamia home
 
eeeh mwaya......
Shishi wako hapendi futibal? au ndo vile tu pingu bado brad nu so manatazamia home

mmmmm bahati wangu hajui head or tail abt soccer....kwake sio lazima tutatazamia home tena sio mechi zote.... bado we want to just sit and gaze into each others eyes .....aahahhaha kabla watoto waje kutuharibia taratibu zetu.
 
una bahati kweli....congrats! lazima mjirushe kwa nafasi wakati hali inaruhusu.

Je, kama mama naye ni mpenzi wa soka si mnaenda kuangalia wote pamoja na wadau? Ah! nikiwa na mama pale noma njemba nyingine zinaweza kuanza kumpigia mahesabu...LOL!

Si ndo hapo, inabidi kushangilia wote kwenye big screen): lol,habaki mtu home labda tubakie wote au kila mtu na ratiba zake!!
BTW, umesikiliza nyimbo ya shakira na k'naan za WC2010?Nzurii hizo BAK acha tu!Enjoy watching matchez!
 
Back
Top Bottom