we mzenji mbona huelewi? hakuna nchi mwanachama wa fifa, caf, cecafa wala uefa. wanacham huko ni vyama vya michezo tu, full stop. chukulia mfano wa muungano wa uingereza, ennland, scotland na ireland wote wana uanachama fifa na uefa. ndio maana hata siku moja huwezi kusikia timu a united kingdom imefuzu kucheza fainali za kombe la dunia, au euro, siku zote utasikia england, scotlandau ireland zimefuzu!!!!
hilo swali ni dogo sana kwa mkubwa pinda, kama hujanielewa basi labda maximo ndiye wa kujibu zaidi