another way to build THE NATION!
MBUNGE wa Mbinga Magharibi Kepteni mstaafu, John Damian Komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini India alikokwenda kwa ajili ya matibabu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa Mhe. Komba aliondoka nchini wiki iliyopita.
Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa za Maonesho la Tanzania One Theatre (TOT) alikwenda nchini humo kwa ajili ya kucheki afya yake lakini amelazimika kufanyiwa upasuaji wa nyonga baada ya kushauriwa na madaktari.
Awali alikuwa amekwenda kwa lengo la kuangalia afya yake lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi akagundulika kuwa ana matatizo ya nyonga, hivyo akatakiwa kufanyiwa upasuaji haraka sana, kilisema chanzo chetu kimojawapo.
Mmoja wa ndugu wa karibu na Komba, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile yeye siyo msemaji wa familia, alithibitisha hilo.
Huyu hapa anazungumza: Ni kweli mzee amekwenda India. Tunashukuru Mungu ameshafanyiwa upasuaji na anaendelea vizuri. Muhimu kwa Watanzania ni kumuombea dua apone haraka.
Si tunge hekeza tu huko tukajenga MUHIMBILI yetu?
Sikuwahi kujua unaweza kufikiri namna hii
Kumbe una akili wakati mwingine
MBUNGE wa Mbinga Magharibi Kepteni mstaafu, John Damian Komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini India alikokwenda kwa ajili ya matibabu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa Mhe. Komba aliondoka nchini wiki iliyopita.
Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa za Maonesho la Tanzania One Theatre (TOT) alikwenda nchini humo kwa ajili ya kucheki afya yake lakini amelazimika kufanyiwa upasuaji wa nyonga baada ya kushauriwa na madaktari.
?Awali alikuwa amekwenda kwa lengo la kuangalia afya yake lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi akagundulika kuwa ana matatizo ya nyonga, hivyo akatakiwa kufanyiwa upasuaji haraka sana,? kilisema chanzo chetu kimojawapo.
Mmoja wa ndugu wa karibu na Komba, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile yeye siyo msemaji wa familia, alithibitisha hilo.
Huyu hapa anazungumza: ?Ni kweli mzee amekwenda India. Tunashukuru Mungu ameshafanyiwa upasuaji na anaendelea vizuri. Muhimu kwa Watanzania ni kumuombea dua apone haraka.?
Hii ndiyo sababu wabunge hawapiganii kuboreshwa kwa huduma za afya; check up India kwa nini isiwe Muhimbili?
Chama
Gongo la mboto DSM
MUHI MBILI si tayari iko DAR we sema huko ikajengwe MUHI TATU yetu.Si tunge hekeza tu huko tukajenga MUHIMBILI yetu?
Mi nilijua kaenda kufanyiwa upasuaji ili asilale tena bungeni... anyway Get well soon sir ili uje ushuhudie chama chako kinavyokufa " mgeni amelala mgeni, mgeni.... mgeni huyu mgeni..."