walipokuwa wakiwaingiza hawa jamaa bungeni walitwambia kuwa ni ku-diversify bunge kwa kuingiza na wasanii, bora wangefikiria wasanii kama Kipanya!
Sina uhakika kama huyu mheshimiwa anajua lolote juu ya 'GDP', 'per income', 'budget' nk.
Kweli Mungu aliwaumba wanadamu wote kwa maana hiyo hawezi kutoa upendeleo kwa yeyote ...kweli katupa rasilimali zote hizi lakini katunyima watu wenye akili/fikra!