Moshe Dayan JF-Expert Member Joined Feb 10, 2008 Posts 815 Reaction score 710 May 27, 2014 #121 kadoda11 said: gen. Moshe Dayan uko wapi?.kuna mtu kaniambia umepotelea congo forest ktk ile vita na m23.kama upo nakuomba uje uondoe utata aliouliza mleta mada. Click to expand... nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,,
kadoda11 said: gen. Moshe Dayan uko wapi?.kuna mtu kaniambia umepotelea congo forest ktk ile vita na m23.kama upo nakuomba uje uondoe utata aliouliza mleta mada. Click to expand... nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,,
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,002 May 27, 2014 #122 UNLOCK said: Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao. Click to expand... Ni kweli mkuu,hata mimi niliwahi wauliza pale 7,7 wakanijibu hivyo hivyo.
UNLOCK said: Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao. Click to expand... Ni kweli mkuu,hata mimi niliwahi wauliza pale 7,7 wakanijibu hivyo hivyo.
SPANISH CP JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 465 Reaction score 230 May 27, 2014 #123 UNLOCK said: Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao. Click to expand... Maumbile yao yana nini?
UNLOCK said: Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao. Click to expand... Maumbile yao yana nini?
BOMBAY JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,744 Reaction score 3,544 May 27, 2014 #124 Mabodigadi wa gadafi hawakuwa makomandoo wakike? apakak said: Hakuna commando wa kike mkuu Na hii sio Tanzania ni dunia nzima Click to expand...
Mabodigadi wa gadafi hawakuwa makomandoo wakike? apakak said: Hakuna commando wa kike mkuu Na hii sio Tanzania ni dunia nzima Click to expand...
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,755 May 27, 2014 #125 Moshe Dayan said: nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,, Click to expand... ooh kumbe upo warrior,nilidhani umepotezwa....najua hapo malawi upo ktk kazi maalumu.karibu tena jf.
Moshe Dayan said: nipo comrade,, tunapiga kura Malawi, nimebadili uraia,,, am no longer jewish, skuizi mmalawi, naongea kichewa vbaya sana,, Click to expand... ooh kumbe upo warrior,nilidhani umepotezwa....najua hapo malawi upo ktk kazi maalumu.karibu tena jf.